Elections 2010 Kata za Bangata na Daraja 2, ccm Hali mbaya

aiseeeeee babaangu hapa rombo 2nafatilia kwa karibu huo uchaguzi wa madiwani 2meshaagiza pipa 3 za mbege muda wawate kuanzia sasa 2taanza kusherekea kwa kunjwa mbege yeeeeeeeeeewiiiiiiiiiiiii tiki
 
Imetokea tena vurugu kata ya Daraja mbili baada ya dereva aw Lema na makamanda wengine watano wamesimamishwa barabarani na polisi kisha wakawashika na wakawaweka ndani hadi sasa. Baada ya hapo ikatokea vurugu na aliyekuwa mkiti aw UVCCM wilaya ya Arusha na kwa sasa M-NEC kupitia wilaya ya Arusha Bw. Dan Mwalusamba amedaiwa kutoa Bastola na kupita risasi hewani na kwa sasa polisi wanasema yupo ndani lakini cha ajabu akipigiwa simu anapokea.
Arumeru ilitokea rabsha kidogo Kati ya OCD waArumeru na Nassari lakini baadaye wakaelewana kuhusu umbali wanaotakiwa kukaa wananchi kutoka kituoni.
 
bila shaka upigaji wa kura umemalizika na sasa kura zitaanza kuhesabiwa ni wakati nyeti mno ndio wakati ule magamba wanachomeka kura za wizi makamanda kuweni macho sana!
 
Back
Top Bottom