Updates: HESLB Loan Applications 2023/2024

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
5,181
Reaction score
19,370
Tukutane hapa kupeana habari na taarifa za maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka huu 2023-2024.

Kama wewe ni mwanafunzi, mzazi, mlezi, ndugu au rafiki unayeomba/unamuombea mtu wako mkopo basi karibu kwenye hiki kijiwe special.

Kwa kuanza tuanze na huu muongozo wao kwa mwaka huu 2023-2024.

View attachment LUG_Guidelines_2023_-_2024.pdf

Maombi yameanza rasmi leo tarehe 15 Julai .
 
Hivi muda huu hapa dirisha litakua wazi kweli maana mi nimeingia naona haileti kitu
 
Hii mikopo pia ni kwa wanaojiunga na ngazi ya cheti pamoja na stashahada kama serikali ilivyoahidi? Au ni waomba wa Shahada pekee?
 
Salaam Wadau wa Elimu,
Naomba msaada, nataka nihakiki cheti Cha ndugu yangu Ila kila nikiLog In kwenye mfumo mfumo unaandika 'An error occur' shida nn jaman.
Nipeni mbinu Plz
 
Unamaanisha mfumo wa RITA ?
 
Salaam Wadau wa Elimu,
Naomba msaada, nataka nihakiki cheti Cha ndugu yangu Ila kila nikiLog In kwenye mfumo mfumo unaandika 'An error occur' shida nn jaman.
Nipeni mbinu Plz
Rita walibadilisha mfumo... Tumia maelekezo hayo apo kwenye attachment
 
Attachments

  • 20230705_171053.jpg
    20230705_171053.jpg
    189.4 KB · Views: 38
Tukutane hapa kupeana habari na taarifa za maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka huu 2023-2024.

Kama wewe ni mwanafunzi, mzazi, mlezi, ndugu au rafiki unayeomba/unamuombea mtu wako mkopo basi karibu kwenye hiki kijiwe special.

Kwa kuanza tuanze na huu muongozo wao kwa mwaka huu 2023-2024.

View attachment 2688559

Maombi yameanza rasmi leo tarehe 15 Julai .
Kwa anaehitaji kufanyiwa application (Maombi):

1. Maombi ya mikopo (mkopo) ya elimu ya juu 2023/2024 (heslb) uzoefu upo wa kutosha.

2. Maombi ya Vyuo vikuu na vya kati (online)

3. Joining instructions (maelekezo ya kujiunga) za vyuo vikuu na vya kati pia zinapatikana.

WhatsApp: 0620523897
 
Dirisha bado halijafunguliwa?
dirisha bado ila naona mlango uko wazi toka 16/07/2023 ukiingia kwenye kuweka passport ya mwombaji na mdhamini wanataka size pixel 120x150 iwe na 1MB na ngoma haitaki siju shida ni mfumo wao au nini tusaidiane, naona paspport 1mb c mchezo au wametufanyia tu uhuni hao ma IT wa bodi
 
Punguza passport weka katika vigezo wanavyotaka.
 
Kwa mwenye changamoto katika uhakiki wa vyeti, maombi ya mkopo na maombi ya vyuo tuwasiliane 0752026992.
20230706_073511.jpg
Maombi_ya_mkopo_elimu_ya_juu_bodi_ya_mkopo_HESLB.jpg
 
Hivi majibu ya Waliopata mkopo yanatoka kuanzia tarehe ngapi wakuu?
 
Back
Top Bottom