Updates from TRA

Updates from TRA

nimepata fununu soon yanatoka wanaitajika watu 300 ila GPA inamata hapo
 
mh ss hzo gpa si bac tna mi na 3.4 sina changu
 
Hawaangalii GPA kuanzia lower second jiandae kwa wtitten interview ila ntakuwa mpo la elfu tatu ivi...
 
Hawaangalii GPA kuanzia lower second jiandae kwa wtitten interview ila mtakuwa mpo ka elfu tatu ivi...
 
nilivyoona kimya nikajua walishatoa ndo nimetoswa hivyo, kumbe bdo!!
 
Back
Top Bottom