Updates from TPDC

rich73

Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
20
Reaction score
2
Hivi jamani hawa TPDC bado hawajaanza kuita watu? mbona naona kimya kingi? maana walituambia baada ya mwezi mmoja wangeanza kufanya mchakato wa kuita watu.
 
Interview ziliisha tarehe 28 labda wataita July tho wana tia presha tu
 
Labda inawezekana kweli wakaanza kuita July. Sie wengine tulimaliza usaili tangu tarehe 6 May. Ngoja tuendelee kuvuta subira.
 
bomba bado halijaisha. linategemewa kuisha mwezi novemba
 
Recruitment process inachukua 1/2year!!!!!!!!!!!
Wanabore co siri.... Watu hadi wanasign contract nyingine
 
Vuteni subira ndugu zangu.Mambo yatakuwa mazuri muda si mrefu.
 
Kwani wewe unakaa dunia gani? Nafasi ziliishwajazwa siku nyingi kupitia memos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…