Updates from PPF

Updates from PPF

makery

Member
Joined
Mar 28, 2014
Posts
33
Reaction score
3
Kuna mtu ameniambia kuwa ameitwa kufanya oral interview PPF ya operation trainee. Wameanza kuita?
[h=2][/h]
 
Mbona mimi nikifanya aplctn Ppf siitwi? Kibaya zaidi naambatansha na testimonial letter ya kwao?
 
jamani wameiita post gani? benefit trainee au contribution trainee?? tujulishane
 
watu walishaenda, post ilikua ni operations officer trainee sasa hivi inangojewa matokeo tu yatoke watu wachukue kazi zao.
 
Kama utajali, naomba conctacts za wewe uliyefanya oral interview ppf ili tuwe tunapeana updates za kinachojili. Asante
 
Uko tayari kwenda kwa TB Joshua Nigeria kutibiwa HIV AIDS? Ili upate kazi siku hizi PPF lazima uziniwe au uliwe kiboga. Lakini wana UKIMWI na wanakwenda kwa TB Joshua awaponye Ukimwi.

Hali sio nzuri PPF wakurugenzi waname karibu wote ni wagonjwa. Wakati wa utawala alienda Nigeria kwa TB Joshua, Mkuu alikodi ndege kumpeleka Loliondo kwa Babu yeye na mkewekujiibu Mwingine alienda India Maini yameoza, mwingine wa kiume ailenda India kutibiwa FISTULA, boss alikuwaana vaa pampas ofisini.
 
Sasa wanapata wanawake tu au ukiwa wa kiume unapewa na wadada wa hapo kazi ni ngumu sana mjini
 
Uko tayari kwenda kwa TB Joshua Nigeria kutibiwa HIV AIDS? Ili upate kazi siku hizi PPF lazima uziniwe au uliwe kiboga. Lakini wana UKIMWI na wanakwenda kwa TB Joshua awaponye Ukimwi.

Hali sio nzuri PPF wakurugenzi waname karibu wote ni wagonjwa. Wakati wa utawala alienda Nigeria kwa TB Joshua, Mkuu alikodi ndege kumpeleka Loliondo kwa Babu yeye na mkewekujiibu Mwingine alienda India Maini yameoza, mwingine wa kiume ailenda India kutibiwa FISTULA, boss alikuwaana vaa pampas ofisini.

Hii fitina au:banghead::what:
Male fistula
Hata hivyo kama viongozi wengi ni sick then development iko mbali kutujia
 
Uko tayari kwenda kwa TB Joshua Nigeria kutibiwa HIV AIDS? Ili upate kazi siku hizi PPF lazima uziniwe au uliwe kiboga. Lakini wana UKIMWI na wanakwenda kwa TB Joshua awaponye Ukimwi.

Hali sio nzuri PPF wakurugenzi waname karibu wote ni wagonjwa. Wakati wa utawala alienda Nigeria kwa TB Joshua, Mkuu alikodi ndege kumpeleka Loliondo kwa Babu yeye na mkewekujiibu Mwingine alienda India Maini yameoza, mwingine wa kiume ailenda India kutibiwa FISTULA, boss alikuwaana vaa pampas ofisini.
sijakuelewa mkuu hebu eleza vizuri
 
ahahahahahahah bongo bhana kila kitu hovyooo.. kama ni kweli bas ni laana hii
 
Back
Top Bottom