Lucas Maduhu
Member
- Mar 16, 2016
- 35
- 14
Kwa wale wajanja wenzango wote leo kwenye pitapita mitandaon nmekutana na hii app ya android kiukwel ni nzur xn na very handy kwenye movie na series za kizungu nkaona sio mbaya nkishare nanyi hii app
inaitwa Terrarium Tv naambatanisha na link ili kuweza kuidownload hii app... [https://github.com/NitroXenon/Terrarium-Public/releases/download/1.3.1/app-release.apk]