Update za walimu kupanda bure Leo ni tarehe 7

vevenononombo

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
1,289
420
Walimu wa DSM Leo wanaanza kusafir bure kwa mpango wa mh Makonda je wazo hili limefanikiwa kwa kias gani?
 
Watasumbuana na makondakta kwasababu vyombo vingi vya usafiri mwenye chumbo anakuwa kawawekea kiwango cha pesa ta kumkabidhi kwa siku. Mfano unakabidhi 100,000 kwa siku.
Sasa kondakta na dereva ndiyo wenye kuhangaika wafikishe hesabu na wabaki na ya kwao. Hivyo ngumu kwa mwenye chombo kumpangia huyu apande bure huyu alipie..
Lets wait and see
 
JAMANI VIJANA WA UKAWA WENYE ELIMU ZA HAPA NA PALE ELEWENI,WALIMU HAWASAFIRI BURE BALI NAULI ZAO ZIMELIPIWA NA WADAU WALIOJITOKEZA KWA USHIRIKIANO NA DC WA KINONDONI.
 
  • Walimu selfie BA's kinda akiwapita Ndani ya city bus bila kuwadai transport fair najua some of great thinker in maticha embu tupen mrejesho makonda wa hizo public buses wanasemaje,msinalaumu kwan kingereza cha today maana there iz a thread here here jf inatuona washamba watz because much much tanzanian we cant speak or write english,kwa kuwa walimu mnaanza kuget in the car for free tusaidien bas zetu huko school to know malkia language,itakuwa poa maana la saba amalize hajui hata kutengeneza toothpick na kuziuza kwa mama ntilie ajipatie kipato,ila aweze kuongea kingereza maisha yake yaishie kuwatumikia wagen kwa kipato cha chin cc tanzania ya viwanda




.
 
Mbona wachangiaji wote hakuna aliyesema nini kimeendelea eneo lolote la tukio?
 
JAMANI VIJANA WA UKAWA WENYE ELIMU ZA HAPA NA PALE ELEWENI,WALIMU HAWASAFIRI BURE BALI NAULI ZAO ZIMELIPIWA NA WADAU WALIOJITOKEZA KWA USHIRIKIANO NA DC WA KINONDONI.
Haya ndio unayasema wewe leo. Ya kuwa nauli zao zimeshalipiwa. Mbona Makonda hakusema hivyo??
 
La msingi wangewashauri serikali wawanunulie magari kama ilivyo kwa polisi,mahakama,nk wana magari yao lakn mpango huo ni kudumaza akili tu
 
JAMANI VIJANA WA UKAWA WENYE ELIMU ZA HAPA NA PALE ELEWENI,WALIMU HAWASAFIRI BURE BALI NAULI ZAO ZIMELIPIWA NA WADAU WALIOJITOKEZA KWA USHIRIKIANO NA DC WA KINONDONI.
We we mwenye elimu kubwa very stupid kabisa maana hatujakusikia unapiga kelele,MTU yoyote anayetumia maandishi makubwa ni sawa na mtu anayeongea kwa makelele.
Next time tumia herufi ndogo sis vijana wa ukawa na wanaharakat wengine hatuna matatizo ya macho tuna elimu ya kututosha kuhusiana na vyakula vituwezeshavyo kuona vizuri.Maandishi makubwa yatumie kwa vijana wenzio mnaolipwa buku saba isotosha kupanga hata mlo bora wa siku, tukirudi kwenye mada DC wako alisema unavyosema wewe sisi tuliambiwa walimu watasafiri bure akiutafuta amaharufu kunuka akutaja kama kuna watu wako nyuma ya huko mpango wake kama unavyotokwa na povu mkuu
 
Back
Top Bottom