tshabalala_the_greto
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 452
- 229
Kwa anayefahamu kama NHIF tayari wameshaita watu kwa ajili ya Oral Interview atujuze?tafadhali!
Kwa anayefahamu kama NHIF tayari wameshaita watu kwa ajili ya Oral Interview atujuze?tafadhali!
Tulia bado tunasahihisha
Duuuuhh!!! Hadi leo bado mnasahihisha tu?!
Mambo mazuri hayataki haraka. Soon yatakuwa out....
Walisema watapiga simu kwa waliochaguliwa kufanya oral interview
So u mean mtoa mada ushakosa.. bado hawajaita bhana
Jaman wameshaita wa2 kwenye interview(oral) itakuwa ni tar 20.
Majina yalitoka gazet la mwananchi last week
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Itachukua muda gani kuwaita waliofaulu usaili?
Jaman wameshaita wa2 kwenye interview(oral) itakuwa ni tar 20.
Majina yalitoka gazet la mwananchi last week
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
uuuuuuuuwi mbona nilifaulu sijaitwa jameeeeeeeeni uuuuuuwiiii
uuuuuuuuwi mbona nilifaulu sijaitwa jameeeeeeeeni uuuuuuwiiii
hahahaha umejuaje ulifaulu?
Kuna jamaa amefanya oral interview, anataka ajue inachukua muda gani kuita.