Mkuu angalia hapo kwa TECHNICIAN - AUTOMOTIVE utaona kilichofanyika. Wameselect watu 4 tu wenye 90 hadi 80 kuna watu wapo na 75 wameachwa. Mahitaji ilikuwa watu 11cutt off huwa ina enda na namba ya uhitaji katk kila kada na namba ya walio faulu usaili.... kwa nafasi moja huwa kwa kawaida wana gombea watu watatu... hivyo kwa nafasi 10 walitakiwa kuendelea na watu 30; na mkifikisha zaidi ya maksi 50 watu 200 wataangalia wale 30 walio kuwa wame faulu vizuri zaidi ndio wataendelea nao...
na baadae katika kuitwa kazini vipaumbele kama mmefungana maksi huwa wenye umri mkubwa, wanawake ndio huwa wana kipaumbele...
kuna mdogo wangu nae kapata wastani mzuri lakini ndio hivyo hawa kumjumhisha ktk awamu ya pili... nili shangaa lakini imebidi tukubari waliyo yawekaMkuu angalia hapo kwa TECHNICIAN - AUTOMOTIVE utaona kilichofanyika. Wameselect watu 4 tu wenye 90 hadi 80 kuna watu wapo na 75 wameachwa. Mahitaji ilikuwa watu 11
Kada gani hiyo mkuu.kuna mdogo wangu nae kapata wastani mzuri lakini ndio hivyo hawa kumjumhisha ktk awamu ya pili... nili shangaa lakini imebidi tukubari waliyo yaweka
automotiveKada gani hiyo mkuu.
Mimi nachoshangaa tu ni kuona wanachukuliwa watu 4 wenye alama 90 hadi 80 na kuacha watu wako na alama 75 huku mahitaji ya nafasi ilikuwa 11
Hongera mkuu. Mie pia nilipiga Automotive na nimepata 57automotive
yeye dogo nazani alikuwa watano au wasita hivi...Hongera mkuu. Mie pia nilipiga Automotive na nimepata 57
Kwenye kada ipi hiyoyeye dogo nazani alikuwa watano au wasita hivi...
Kwenye kada ipi hiyo[/QUOTE
Tulipiga usaili watu zaidi ya 40 na walihitajika watu zaidi ya 10. Kwenye kada yetu wamechaguliwa watu 4 tu
Wenye 90 na 80 tu. Kuna watu wapo na 75 NOT SELECTED
Kweli kabisaaaa mkuu. Tumwachie mwenyezi MunguPole mkuu sana haya nayo yataisha tu.
Mkuu hii hali inatisha sana mkuuIla vitu kama hivi vinawakatisha vijana katika utafutaji from Dar to Arusha alafu unakutana na mazaga kama haya 75% mtu unaachwa mmmh kweli Mungu ana plan zake nae
Sio kweli mkuuBro tafadhari naomba msaada hapa.... nimepata taarifa toka kwa walio fanya usaili leo kuwa... kuna walio fanya usaili wa tanapa hapo hapo chuo cha uhasibu je ni kweli mlitangaziwa hili....
shukrani
Hapa hata mm sijaelewa kabisaaaaMkuu angalia hapo kwa TECHNICIAN - AUTOMOTIVE utaona kilichofanyika. Wameselect watu 4 tu wenye 90 hadi 80 kuna watu wapo na 75 wameachwa. Mahitaji ilikuwa watu 11
Mkuu hawa jamaa imebidi tu tuwafate mguu kwa mguu kujua zaidi juu ya kile kilichotokea. Majibu yao ni kwamba nafasi 11 zilizotangazwa zilitangazwa kimakosa na walifanya marekebisho ikawa nafasi 1 badala ya 11. Kwa hiyo selection ya watu 4 wenye ufaulu wa alama 90 na 80 umezingatia uwiano wa nafasi moja tu. Tuliendelea kuwauliza kuwa kama mlifanya marekebisho ya nafasi kutoka 11 hadi 1 kwa nini walishindwa kuujulisha umma, hapo walikosa majibu sahihi badala yake waliendelea kutuomba tu samahani kwa kusema makosa yametendeka kwa kushindwa kuujulisha umma kwa Wakati.Ila vitu kama hivi vinawakatisha vijana katika utafutaji from Dar to Arusha alafu unakutana na mazaga kama haya 75% mtu unaachwa mmmh kweli Mungu ana plan zake nae