idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,308 Reaction score 38,526 Apr 9, 2013 #1 nipo kwa Android, mara nyingi sim yangu imekua ikinipa huo ujumbe. wakati mwingine huwa nau-update wakati mwingine napuuzia tu. je nisipo ia-update kunamadhara yoyote naweza kuyapata,na Kui-update kunafaida gani.?
nipo kwa Android, mara nyingi sim yangu imekua ikinipa huo ujumbe. wakati mwingine huwa nau-update wakati mwingine napuuzia tu. je nisipo ia-update kunamadhara yoyote naweza kuyapata,na Kui-update kunafaida gani.?