Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,253
- 1,028
Nipo kwenye basi la SAIBABA safarini Arusha.
jambo la kusikitisha ni kwamba handkerchief za abiria wengi zimegeuka water seal kutokana na gari kuvuja maji ndani.
maji yamesababishwa na mvua inayoendelea.
mtu unakamua handkerchief mara tano!
very absurd.
my take; jamani hili sio gari la kupanda kwani ni sanaa kuanzia mwanzo hadi mwisho.
inabidi mtu kabla ya kusafikri uulize kwanza kwa wadau basi gani upande
jamani mi kesho natoka moshi kwenda dar nipande basi lipi?km hali yenyewe ndo hy mbona tutasafiri na taulo?
msimlaumu ngoja niwajuze hilo basi ni mkombozi kwa mtu anaetoka dar au arusha late, linatoka sa saba mchana so kama unaemagnce unaweza safiri jina lake kuu ni chausiku hata mimi kesho nnakazi hapa dar sa tano ila nikiwahi ntenda kwa lema mchana ndo home ili niwahi kampeni ijumaa.