Update safari ya SAIBABA la Arusha:Handkerchief zageuka waterseal.

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
1,253
1,026
Nipo kwenye basi la SAIBABA safarini Arusha.
jambo la kusikitisha ni kwamba handkerchief za abiria wengi zimegeuka water seal kutokana na gari kuvuja maji ndani.
maji yamesababishwa na mvua inayoendelea.
mtu unakamua handkerchief mara tano!
very absurd.
my take; jamani hili sio gari la kupanda kwani ni sanaa kuanzia mwanzo hadi mwisho.
 
Mkuu kwanini unapanda hilo basi ? Hilo ni chinjachinja ati . Panda dar express na metro ndo yana uhakika .
 
Ahh mkuu wanazo luxury za maana mkuu sema umepanda zile za bei poa nayafahamu sana mabasi ya hawa jamaa.Wanayo kama hayo ulilopanda na maluxury vilevile wanayo kwa hiyo ni wewe mwenyewe umejitakia kutokana na kauwezo kako.Ila yote na yote enjoy speed
 
KWANI HATA YALE YA KICHINA WANASHINDWA KUNUNUA?

20091210052706224.jpg
 
Nipo kwenye basi la SAIBABA safarini Arusha.
jambo la kusikitisha ni kwamba handkerchief za abiria wengi zimegeuka water seal kutokana na gari kuvuja maji ndani.
maji yamesababishwa na mvua inayoendelea.
mtu unakamua handkerchief mara tano!
very absurd.
my take; jamani hili sio gari la kupanda kwani ni sanaa kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Ungepanda OSAKA au ulikosa tiketi?
 
jamani mi kesho natoka moshi kwenda dar nipande basi lipi?km hali yenyewe ndo hy mbona tutasafiri na taulo?
 
Mi nilishawahi kupanda kutoka dar kwenda A-town, nilikoma, jamani huduma za usafiri bado ziko mbaya sana! Sema wamiliki wako karibu na magamba hakuna cha kuwafanya!
 
inabidi mtu kabla ya kusafikri uulize kwanza kwa wadau basi gani upande

msimlaumu ngoja niwajuze hilo basi ni mkombozi kwa mtu anaetoka dar au arusha late, linatoka sa saba mchana so kama unaemagnce unaweza safiri jina lake kuu ni chausiku hata mimi kesho nnakazi hapa dar sa tano ila nikiwahi ntenda kwa lema mchana ndo home ili niwahi kampeni ijumaa.
 
jamani mi kesho natoka moshi kwenda dar nipande basi lipi?km hali yenyewe ndo hy mbona tutasafiri na taulo?

panda kilimanjaro exp. Ila chunga laptop sekunde utalia mi nimeibiwa last month dar exp ni uharo mtupu.
 
msimlaumu ngoja niwajuze hilo basi ni mkombozi kwa mtu anaetoka dar au arusha late, linatoka sa saba mchana so kama unaemagnce unaweza safiri jina lake kuu ni chausiku hata mimi kesho nnakazi hapa dar sa tano ila nikiwahi ntenda kwa lema mchana ndo home ili niwahi kampeni ijumaa.

Hayo magari ya SAI BABA wana imani za kishirikina sana kila basi kuna kitambaa cheusi kimewekwa na kinakuwa kinapepea pale kwenye kona ya kulia nyuma ya basi juu kabisa na wanasema kile kitambaa ni kama network kikinyofoka tu lazima gari ipate ajali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom