Update....mnapeana?!

Wazungu wanasema "If it's not broken don't fix it". Kama kila kitu kiko shwari basi ni mwendo mdundo. Ila kama kuna yanayojitokeza hapo tutayajadili wenyewe

na usisahau pia hao hao wazungu wanasema "If it can, It will" ndio hapo sasa!!!
 
Aaah Lizzy? Yan unakuwa kama hujui mapenzi? Hakuna kuulizana, trend ya matendo ya mwenzi wako na hisia zenu ktk mambo mhm yanayowaunganisha ni majibu tosha juu mwenendo wa mahusiano yenu! HAKUNA HAJA YA KUULIZIANA, MAPENZI USIFANANISHE NA INTERVIEW YA KAZI.
 
hahaha laaziz tutayaongea, mie na wewe wala hatudhuriani laaziz wangu.....mie naona huko ku review mambo ni kufukunyua matatizo tu...

updates ......mnapeana
 
Tatizo la mawazo mgando!
 
halafu hili la we need to talk umeling'ang'ania sana litakuharibia mahusiano.. mazungumzo mazuri ni yale ambayo hayakupangwa,tena sometimes ni ya mzaha mzaha hivi au utani utani hivi l...hapo hapo unamchomekea mtu pointii muhimu
Halafu wewe?!!
 
Za miaka Dr.?
 
Sasa Intelligent businessman kama Psychologist nichunguze nini zaidi ya human behavior, development na mahusiano ya kifamilia, mapenzi, urafiki etc. ??🤓
Ume jitetea vizuri🤣, sema ni vizuri kufahamu Tabia na hukka za wanadam.

Japo huwezi jua zote, ila hii huwa Ina niboa coz Ina nipa nafasi ya ku predict next move ya mtu au fikira zake.
 
Ume jitetea vizuri🤣, sema ni vizuri kufahamu Tabia na hukka za wanadam.

Japo huwezi jua zote, ila hii huwa Ina niboa coz Ina nipa nafasi ya ku predict next move ya mtu au fikira zake.
Nilipitia notes zangu za nyuma ndio nikajibu.😁😁

Nu muhimu kuelewa watu (including ourselves), kwasababu mambo mengi huanzia hapo.
 
Nilipitia notes zangu za nyuma ndio nikajibu.😁😁

Nu muhimu kuelewa watu (including ourselves), kwasababu mambo mengi huanzia hapo.
Katika familia yenu au hiyo uliyo nayo, ni mtu yupi una bond nae zaidi😂.

nime kuja home Kuna ka family reunion kidogo.
, my last sibling aki niona ana changanyikiwa Sana🤣

kaagizwa alete unga wa sembe jikoni, yeye kaenda kuchota ngano 😂😂.
na Mimi ndo Nime msindikiza, Kaka Lia kuni ongelesha.
 
mchumba lizy docta njoo unitibu basii😉😉ninakaugonjwa nahisi baridii dactari lizy come on beibbyyyyy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…