Mnasubiria mpaka nyufa zigeuke milango ehhhh!Nwy hamna haja ya kutishana na we need to talk..ni maongezi ya kawaida unaunganisha na mengine mkiwa mmetulia!Huo muda utoke wapi?? ikitokea shida ndo tunaulizana lakini kama mambo yako sawia maisha yanakwendaWatu wengine hawataki kuambiwa "We need to talk"
Huo muda utoke wapi?? ikitokea shida ndo tunaulizana lakini kama mambo yako sawia maisha yanakwenda
Watu wengine hawataki kuambiwa "We need to talk"
na hata 2kipata huo muda bado tutaambiwa mambo shwari hakuna tatizo, ni wachache sana watatoa ushirikiano, wacha tusubirie tu tumbwili likitokea ndio tuweke mambo sawa hayo mengine hatutapeana majibu dhabiti.
You can review it by going somewhere mbali kidogo na nyumbani (kama pesa ya kufanya hivyo ipo)....Huko mnaweza kuongea taratibu bila ya kuwa na ile ''state ya we need to talk''. Mara nyingi binadamu anaweza kufunguka yale yaliyomo moyoni mwake kirahisi zaidi akiwa ''ame - relax'' kuliko akiwa kwenye tension.
Mambo ya ''we need to talk'' hayachelewi kupelekea statements kama ''I don't see this relationship taking us anywhere''....!!
Huo muda utoke wapi?? ikitokea shida ndo tunaulizana lakini kama mambo yako sawia maisha yanakwenda
Watu wengine hawataki kuambiwa "We need to talk"
from my experience
ukimuuliza mwenzuio kuna tatizo gani,
utaanza kumfanya ayatafute matatizo hata kama hayapo..
utamjengea mawazo ya to look for faults...
hata kama sio tatizo kubwa,litagaeka kubwa...
so kama husemi,na huonyeshi kivitendo kuna tatizo
bora na wewe kujifanya hakuna tatizo mpaka lije kwa uwazi
updates kwani ndoa ya mkataba????/
Mi sijaoa bana msinichanganye!!
nimekupata, bado nacctizia kwenye ushirikianio, mwenzangu ataonyesha huo ushirikiano sasa? i mean kuwa muwazi.
Kwanza wewe laazizi wangu una kesi na mimi......''so we need to talk''. Tehetehetehetehe!
ndugu tena ikitokea mwenzako alikubali kuwa na wewe kwa sababu zake binafsi na akazikosa anakuwa anatumia nyufa effectivelly hadi kuachana kabisa, so issue ya kukutana na mke/mume kila wkend/ month end mahsusi kuzungumzia maendeleo ya mahusiano ni suala la msingi sanaMnasubiria mpaka nyufa zigeuke milango ehhhh!Nwy hamna haja ya kutishana na we need to talk..ni maongezi ya kawaida unaunganisha na mengine mkiwa mmetulia!
Mi sijaoa bana msinichanganye!!