Update: Mfano wa oda ya mbao kutoka Njombe kupeleka Dar es Salaam yenye mchanganuo wa gharama na vibali vyote

Muuzaji Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2022
Posts
882
Reaction score
1,968
Habari za muda huu,leo ningependa kutoa mfano wa oda ya mbao ya mteja anaezitoa wilaya ya njombe kuzipeleka Dar es salaam.

Hapo chini nitakuwekea mchanganuo wa gharama na vibali kila kitu,fatiliana na nami:

ENEO LA KUPAKILIA:
Mkoa: Njombe
Wilaya: Njombe
Kijiji: Uwemba

TAARIFA ZA ODA YA MBAO

•Mteja anataka mbao size mbili tu ambazo ni 2×2 na 1×4 kwaajili ya kusambaza kwenye workshop wanazotengeneza bedsofa kule dar es salaam.

•Mteja anataka kupakia gari nzima aina ya semi yenye Tani 30.

•Baada ya kuchanganua ukavu wa mbao ,uzito wa mbao na ukubwa gari tumefanya makadirio gari inaweza kupakia jumla pc 7500 za size 2×2 na 1×4.

•Baada ya makadirio tumekubaliana mbao moja atanunua kwa 1,200/= kwa size zote (2×2 na 1×4).

MCHANGANUO WA GHARAMA YA ODA KUANZIA MANUNUZI HADI VIBALI KILA KITU HADI ZINAFIKA DAR ES SALAAM.

•Manunuzi: 9,000,000/=
•Usafiri: 3,000,000/=
•Kupakia: 200,000/=
•Ushuru (3% ya manunuzi): 270,000/=
•TRA (2% ya manunuzi): 180,000/=
•Transit pass (TP): 15,000/=
•Ushuru wa TP (20% ya TP): 3,000/=
•Ushuru wa magogo: 50,000/=
•Kuhakiki uzito mizani: 15,000/=
•Barua ta serikali ya mtaa: 5,000/=
•Usafiri wakati wa kushughulikia vibali: 12,000/=
•Kukodi leseni ya kufanya biashara bidhaa za misitu: 150,000/=
•Emergency cash: 350,000/=

JUMLA: 13,250,000/=

NYARAKA MUHIMU ZILIZOANDALIWA KABLA GARI HAJAANZA RASMI KWENDA DAR ES SALAAM

•Kibali cha kufanya biashara za bidhaa za misitu (mbao)
•Transit Pass (TP)
•Barua ya serikali ya mtaa
•Risiti ya ushuru wa mbao wa halmashauri
•Risiti ya kodi ya mbao TRA
•Risiti ya ushuru wa magogo ya halmashauri
•Gari tuliyokodisha ina risiti ya EFD kama mtoa huduma

Mpaka hapo gari yenye mzigo inakuwa ipo tayari kuelekea jiji la matapeli kushusha mzigo kama ni mbagala,Gmboto,tegeta,buguruni au kokote kule ataamua mnunuzi.

Screenshot_20250824-202715.jpg

•Kama unahitaji kuuliza jambo lolote lile kuhusu mbao za njombe usisite kuwasiliana nami.

•Pia kama upo Dar es salaam,Dodoma,Kahama,Simiyu,mtwara,Pwani nk na unataka kununua mbao njombe usisite kunitafuta nitakusaidia kila kitu hadi mzigo unafika eneo husika.

MAWASILIANO

0748874928 (Piga/sms/whatsapp)

View attachment 3545247

•Kama unahitaji kuuliza jambo lolote lile kuhusu mbao za njombe usisite kuwasiliana nami.

•Pia kama upo Dar es salaam,Dodoma,Kahama,Simiyu,mtwara,Pwani nk na unataka kununua mbao njombe usisite kunitafuta nitakusaidia kila kitu hadi mzigo unafika eneo husika.

MAWASILIANO

0748874928 (Piga/sms/whatsapp)View attachment 3545247
well done gentleman,
this is the best content of the day :KasugaYeah:
 
Kama ingekua mzigo ukifika tu dar ndani ya wiki moja unaisha wote ni biashara yenye faida sana kama ukiuza mbao moja 4,000.
Haipo hivo ndugu yangu!

Ubao huo 1200/= kwa dsm bei ya reja reja ni 2,800/= ila kama wewe unauza jumla kwa kusambaza maana yake utauza 2500/= maximum

Ukiuza reja reja unaweza pata 800/= hadi 1000/= kwa ubao ila utauza taratibu

Ukiuza jumla unaweza kupata 400 hadi 700 maximum kama faida kwa ubao ila utauza kwa muda mfupi
 
Back
Top Bottom