Upatikanaji wa Mawese Kigoma

Upatikanaji wa Mawese Kigoma

isotope

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
2,392
Reaction score
817
Mwenye taarifa please, nataka kujua bei ya mawese na upatikanaje wake...
 
Bei ya mawese kwa kibondo ni shillingi 8,000 kwa Lita tano, maeneo ya kigoma vijijini kama kidahwe, ilagala na kalela bei ni rahisi zaidi ya hiyo niliyokutajia.
 
Huk nlipo mim manyovu bei ya 1l =1000 so ni wew tu kiongozi kufanya yaliyo yako karbu sana
 
Back
Top Bottom