share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,063
- 10,479
Nadhani Tanzania tunahitaji millennium kufikia huko!
Kikokotoo tu ni shida, sembuse hii teknolojia!!!
Nadhani Tanzania tunahitaji millennium kufikia huko!
Kikokotoo tu ni shida, sembuse hii teknolojia!!!
We unaambiwa mwanadamu wa kwanza aliishi Olduvai Gorge; yaani Mbongo Pyua!! Wakati jamaa waliwepo hapo miaka milioni kadhaa iliyopita; sisi kizazi chake kilichokuja miaka milioni kadhaa baadae ndo kwanza ukiwa na cherehani 2 unaambiwa una kiwanda!!Kwa maisha tunayoishi?
Inabidi Vitoweke vizazi vyetu complete
Walau watakuja wanaofikiria vizuri
Mpaka pale tutakapoacha kuwaza ngono kuliko kitu chochoteNadhani Tanzania tunahitaji millennium kufikia huko!
Bado tupo kwenye kikokotozi kinatutoa jasho je huko tutafika?Majaribio kama haya yaendelee kufanyika kwenye nchi hizohizo zenye idadi kubwa ya vichwa vya binadamu.
Tulia kwanza tumalize mchakato wa kununua wapinzani na kuua kabisa yeyote aliye mpinzani ndo tuta rudi huko kwenye daktari robotNadhani Tanzania tunahitaji millennium kufikia huko!
We unaambiwa mwanadamu wa kwanza aliishi Olduvai Gorge; yaani Mbongo Pyua!! Wakati jamaa waliwepo hapo miaka milioni kadhaa iliyopita; sisi kizazi chake kilichokuja miaka miloini kadhaa baadae ndo kwanza ukiwa na cherehani 2 unaambiwa una kiwanda!!
Katika nchi ambayo Mh. Kibajaji ni muhimu kwa vile ni mpiga debe mzuri kuliko daktari bingwa usitegemee hayo kutokea hata Yesu akirudi ataondoka tena.Kwa maisha tunayoishi?
Inabidi Vitoweke vizazi vyetu complete
Walau watakuja wanaofikiria vizuri
Nimewaza na kuwazua kila jambo Mkuu ikabidi nigune tu. Sababu sio jambo dogo hilo.
Utaelewa tu.Mhindi kamzidi mzungu mmmh naamini kagundua mzungu ila machine kazifunga India
teknolojia Hii haiwezi kukosekana New York ikapatikana ahamabad huko
Mkuu maana yangu mimi ni idadi kubwa ya watu na sio akiliNchi zetu shida sio vichwa shida ni njaa, tugange njaa ikipungua hivyo vichwa automatically vitaonekana tu, hiv unafikiri kutengeneza hilo robot mpaka kufika hapo ni sh. Ngapi je kichwan ukiwa na wazo lakufanya hicho kitu sio rahisi kukata tamaa hata kabla hujaanza? Kwasasa tugange njaa kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hii ishaanza kufanyika MuhimbiliNa hii ndio tafsiri halisi ya waafrika.
Yetu sisi anaejaribu kumkosoa pmj kuwapä vichwa vyetu watu wengine kufikiri kwa ajili yetu. Ww ni mmoja kati yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhindi kamzidi mzungu mmmh naamini kagundua mzungu ila machine kazifunga India
teknolojia Hii haiwezi kukosekana New York ikapatikana ahamabad huko