bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,372
- 3,945
Kwa mara ya kwanza daktari wa Italia atajaribu kufanya operation ya kuhamisha kichwa kutoka kwa raia wa Urusi anaeugua ugonjwa wa kuharibu misuli yake(muscle wasting).
Team ya madaktari 100 itatumika kufanya upasuaji huo mwaka 2017 na itagharimu $15m.
Daktari atakaeongoza jopo hilo anasema tatizo kubwa ni kufanya ubongo kuwa hai kipindi chote cha upasuaji.
Source:
Neurosurgeon to attempt world's first head transplant - Al Jazeera English