Ni bawasiri ya ndani unaweza kupakaje??Pole sana huwa wanatumia alovera kupaka sasa sijajua iyo yako
Mkuu hujaugua ukiambiwa hata kinyesi chaa mtu ukila unapona kama unaumwa hasa lazima ule kama nilivyofanya mimiWajinga ndio waliwao... nenda hospitali kubwa yoyote iliyokaribu nawe ...kakutane na daktari bingwa wa upasuaji (general surgeon) ni procedure ya kawaida kabisa kwake ..pia hata ukikutana na daktari MD mzoefu anakufanyia vizuri kabisa ...kila raheri mkuu
ila bawasiri mtu akifanyiwa upasuaji mara nyingi inarudi,kuna jamaa mmoja amefanyiwa operation mara tatu lakin bado hajapona,sasa hivi anapata choo kwa shida kama kalamu iliyovujia wino sometime inabid asile maana akila akapata choo maumivu yake ni hatari,kuna dawa moja imewasaidia wengi na wamepona nitaifatilia then nitakujuza ni stem cell unaimimina chini ya ulimi na nyama zilizoota zinakatika zenyeweNi bawasiri ya ndani unaweza kupakaje??
Uko sahihi kbsaMkuu hujaugua ukiambiwa ht mavi ya mtu ukila unapona km unaumwa hasa lazima ule km nilivyofanya mimi
Asante kwa ushauri asee
Unapaka tu ivo ivo ila upasuaji na bawasiri huwa inarudi tena, kuhusu dawa za asili ujapata tu mtaalam ungepona tiba ingine majani yalioota juu ya nyumba ila ndo wasema ya ndaniNi bawasiri ya ndani unaweza kupakaje??
Usisahau kutupatia mrejesho nasubiri kwa hamu nduguila bawasiri mtu akifanyiwa upasuaji mara nyingi inarudi,kuna jamaa mmoja amefanyiwa operation mara tatu lakin bado hajapona,sasa hivi anapata choo kwa shida kama kalamu iliyovujia wino sometime inabid asile maana akila akapata choo maumivu yake ni hatari,kuna dawa moja imewasaidia wengi na wamepona nitaifatilia then nitakujuza ni stem cell unaimimina chini ya ulimi na nyama zilizoota zinakatika zenyewe
Asante ndugu kwa ushauriUnapaka tu ivo ivo ila upasuaji na bawasiri huwa inarudi tena, kuhusu dawa za asili ujapata tu mtaalam ungepona tiba ingine majani yalioota juu ya nyumba ila ndo wasema ya ndani
Poa asanteila bawasiri mtu akifanyiwa upasuaji mara nyingi inarudi,kuna jamaa mmoja amefanyiwa operation mara tatu lakin bado hajapona,sasa hivi anapata choo kwa shida kama kalamu iliyovujia wino sometime inabid asile maana akila akapata choo maumivu yake ni hatari,kuna dawa moja imewasaidia wengi na wamepona nitaifatilia then nitakujuza ni stem cell unaimimina chini ya ulimi na nyama zilizoota zinakatika zenyewe
YapiNasubiri kwa hamu hayo maelezo
Bugando mwanza wanafanyaWadau naomba msaada kwa mara nyingine tena kwa habari ya bawasiri
Nimetumia dawa za kienyeji za kunya na kupaka nimetumia za tiba mbadala lkn wapi ndipo nikaamua kwenda kwa mtaala mmoja nikaambiwa yeye huwa anakutibu mpk bawasiri ina isha kbs
Na jamaa zangu wengi wameenda kwa huyo mtu wametibiwa na wanepona kbs na ninafanyanao kz sehemu moja sio mmoja ni zaidi ya wanne na wamepona kbs.
Ndipo wakanishauri na mimi niende huko nikaandaa pesa zangu mpk huko nikaanza matibabu matbabu hayo yanajumuisha maumivu makali mno sio hospital kuna mtu tu ni mzoefu wa miaka mingi katika matibabu hayo ya bawasiri.
Wakati mimi naenda nilikuwa nimesoma sana kwenye mtandao kuhusu aina za bawasiri na hatua zake kwamba kwa ile ya nje haina gredi ila ya ndani yaan internal ina grade km nne hivi
Lkn ni wakati naenda nilikuwa na hofu nikiamini huyu atakuwa huwa anatibu bawasiri ya nje maana ya ndani ni ngumu sana.
Nililipa km 400k nikaanza matibabu nakuja kumaliza tiba nikaambiwa nimepona lkn bawasiri bado ipo nikaona sio shida
Ishu yangu kuu naomba msaada kujua ni hospital gani wanafanya upasuaji wa bawasiri ya ndani kwa uhakika na usahihi zaidi ili nikatibiwe huku imeshindikana kabisa natoka bado bawasiri inachungulia chini naomba msaada kwa anaejua
Km kuna mtu alishafanyiwa upasuaji wa bawasiri ya ndani humu naomba tu wasiliane pm
Nb na uhakika mkubwa huyu ndugu ni bingwa wa bawasiri ya nje hilo na uhakika kabisa bila shaka
okYapi
Haina dawa hospitalin ukikata inarudiWajinga ndio waliwao... nenda hospitali kubwa yoyote iliyokaribu nawe ...kakutane na daktari bingwa wa upasuaji (general surgeon) ni procedure ya kawaida kabisa kwake ..pia hata ukikutana na daktari MD mzoefu anakufanyia vizuri kabisa ...kila raheri mkuu