R ray jay JF-Expert Member Sep 27, 2011 1,084 485 Mar 8, 2017 #1 Hongera MKUU wa Wilaya yetu Bi Hokororo,tutakuchangia mama hii aibu kwetu Wa Rombo kushuka kielimu na kuwa na madarasa bila sakafu
Hongera MKUU wa Wilaya yetu Bi Hokororo,tutakuchangia mama hii aibu kwetu Wa Rombo kushuka kielimu na kuwa na madarasa bila sakafu
Lizaboni JF-Expert Member Feb 21, 2013 33,895 20,392 Mar 8, 2017 #2 Aiseeeee! Nilijua huku kwetu Songea tu. kumbe hata na huko walikotangulia kimaendeleo!
R ray jay JF-Expert Member Sep 27, 2011 1,084 485 Mar 8, 2017 Thread starter #3 Lizaboni said: Aiseeeee! Nilijua huku kwetu Songea tu. kumbe hata na huko walikotangulia kimaendeleo! Click to expand... Ha ha haaaa Kila siku tunazaa lazma kujenga madarasa zaidi
Lizaboni said: Aiseeeee! Nilijua huku kwetu Songea tu. kumbe hata na huko walikotangulia kimaendeleo! Click to expand... Ha ha haaaa Kila siku tunazaa lazma kujenga madarasa zaidi
real G JF-Expert Member Feb 7, 2013 5,227 5,296 Aug 18, 2017 #4 ray jay said: Ha ha haaaa Kila siku tunazaa lazma kujenga madarasa zaidi Click to expand... mkuu habari za Rombo huleti tena siku hizi?
ray jay said: Ha ha haaaa Kila siku tunazaa lazma kujenga madarasa zaidi Click to expand... mkuu habari za Rombo huleti tena siku hizi?