Upanuzi wa njia kuu Tanzania bara..!

Upanuzi wa njia kuu Tanzania bara..!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,530
Reaction score
46,614
Unajua badala ya kupambana kuzuia michepuko ingekuwa rahisi zaidi kuitanua hii njia kuu walau iweze kupitisha magari angalau manne kwa mkupuo.., hii ingependeza sana.., si unona Kenya wanavyojiachia tu sasa..
 
Usicheze na viongozi wetu bwana!wanataka baada miaka —kumi wazue mradi mwingine 10% inaingia kama unabisha angalia bunge la katiba wanataka serikali 2 waendelee na mchezo wao!
 
Usicheze na viongozi wetu bwana!wanataka baada miaka -kumi wazue mradi mwingine 10% inaingia kama unabisha angalia bunge la katiba wanataka serikali 2 waendelee na mchezo wao!

Hahahahah...,posho tamu sana..
 
Unajua badala ya kupambana kuzuia michepuko ingekuwa rahisi zaidi kuitanua hii njia kuu walau iweze kupitisha magari angalau manne kwa mkupuo.., hii ingependeza sana.., si unona Kenya wanavyojiachia tu sasa..
Dah nimesikia leo nikacheka sana Wakenya noma wamepitisha hiyo sheria!
 
Back
Top Bottom