Upanuzi wa barabara ya Morogoro

Hivi tangu aingie madarakani kaanzisha miradi mingapi ya barabara na km ngapi zimeshajengwa?
 
Hivi tangu aingie madarakani kaanzisha miradi mingapi ya barabara na km ngapi zimeshajengwa?
Mingi tuu, mfano kutoka kimara korogwe mpk external ni kama km 5, kutoka Morocco pale hadi mwenge ishakamilika kama km 4 au 6 hivi,
Hiyo inayoanzia kimara kwenda kwenda kibaha iko jikoni inakaribia kuiva,
 
sijajua lini

Hii ingenoga sana kama ingeunganishiwa kipande kingine toka Kisarawe hado Vikindu kumrahisishia msafiri wa kutoka Mtwara na Lindi kwenda Dodoma na kanda ya kaskazini

Halafu watazame namna bora ya kukwepa kutumia matuta kama kidhibiti mwendo (iwe mtelezo tu)
 
Mingi tuu, mfano kutoka kimara korogwe mpk external ni kama km 5, kutoka Morocco pale hadi mwenge ishakamilika kama km 4 au 6 hivi,
Hiyo inayoanzia kimara kwenda kwenda kibaha iko jikoni inakaribia kuiva,
Kwaiyo anajivunia hizo km 15 miaka mitatu aliyokaa ofisini. Basi sawa.
 
hiyo barabara itakuwa fenced na itakuwa ya kulipia na pia itakuwa na madaraja maalumu ya kuvukia pia kuna lanes za speed mbalimbali fuatilia nyuzi za nyuma utaona kuhusu huo mradi unaanzia Kigamboni na kuishia chalinze pale karibu na zile ghorofa za NHC
 
project ya Dar - Chalinze haipitii Kimara inaanzia daraja la Kigamboni inapitia kisarawe kwa Jokate mpk chalinze
Bora uyaelimishe maana washashiba ugali maharage wanaongea na wasiyoyajua
 
Safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…