Ile ya chalinze ni mradi mwingine hii ya sasa ni ubungo kibaha
Inajengwa kwa pesa ipi?ungeweka na kibao cha contractor anayejenga ingependeza zaidi pili sijaona zile shughuli za uwekaji JIWE kutoka kwa jiwe mwenyewe.[emoji41][emoji41]
Ngoja kwanza wa kisalawe apoteze radha na huyu atakumbukwaHivi inakuaje kwa uzuri wako ukakosa wilaya?
mkuu swali naomba upeleke kwa mleta mada me mwenyewe nina maswali mengi ntaka nijue likiwepo na hiliInajengwa kwa pesa ipi?
Hiyo ni Avatar inawezekana ni Mbaya Hata Inzi hawamsogelei.Hivi inakuaje kwa uzuri wako ukakosa wilaya?
project ya Dar - Chalinze haipitii Kimara inaanzia daraja la Kigamboni inapitia kisarawe kwa Jokate mpk chalinzeMbona kama ndivyo kufika kibaha tunakuwa kama tumerudi Kimara, mimi nilidhani inakwenda mpaka Mlandizi na kila njia inakuwa na speed yake ili kuhamasisha magari kupungua mjini kwa haraka
yaaani anasonga mbele wala harudi nyuma Mungu azidi kutia nguvu asije akarudi nyumauyu baba akikaa angalau miaka 10 madarakani Tanzania itafika mbali sana.
Hapa ndio munapo kosea na adhabu yake ipo siku mtaipataAhsante Magufuli hakika wewe ni zaidi ya maraika
Acha kukufuru wewe , unafananishaje Malaika na vitu vya kipumbavu.Ahsante Magufuli hakika wewe ni zaidi ya maraika
Acha miaka 10 ,Tangu uhuru ni wao wanaongoza nchi lakini mpaka leo ni Blaah blaah tu.uyu baba akikaa angalau miaka 10 madarakani Tanzania itafika mbali sana.
Hivi inakuaje kwa uzuri wako ukakosa wilaya?
project ya Dar - Chalinze haipitii Kimara inaanzia daraja la Kigamboni inapitia kisarawe kwa Jokate mpk chalinze
Mi naona awepo madarakani walau kama mugabe.uyu baba akikaa angalau miaka 10 madarakani Tanzania itafika mbali sana.
Watanzania tuna tabia ya kusahau mapemaHivi hii ndiyo tuliambiwa njia sita hadi Chalinze?