mkuu
kitalolo wewe ndo unajipa stress za sijui mdororo wa uchumi sijui nini
Kuna watu hawajui masuala hayo wao wakizichanga heshima inakuwa bar sio kufanya maendeleo
Wewe ndio unawaza sijui watoto wakasome sijui ukajenge kuna watu hawawazi hayo wao wakipata ni pombe na kitu ileee kwisha kazi hata kama anaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja na watoto na mke