Upangaji wa matokeo

changaule

JF-Expert Member
Jan 10, 2020
5,587
9,179
Kukiwa na tuhuma mbali mbali juu ya upangaji wa matokeo, ambapo timu ya Simba ilishapeleka mashitaka yao juu ya tabia ya upangaji wa matokeo ndani ya ligi kuu unafanywa na klabu ya Yanga kupitia kwa mshauri wa klabu bwana Senzo.

Wakati tuhuma hizo zikiwa zinqfanyiwa kazi na vyombo husika, kuna kitendo kimoja ama tabia moja inayofanywa na klabu ya Simba ambayo kimsingi naona kama wanajua kile kinachoenda kutokea uwanjani pindi waendapo mikoani.

1) mechi ya Jkt Tanzania vs Simba
Simba walitangaza kufanyika kwa party ambapo waliita pre match party. Hapa unaona kabisa kuwa Simba walikuwa na uhakika wa kupata furaha iwe isiwe. Na kweli tunaona magoli ya mapema zaidi kufungwa ambapo ndani ya dakika 20 tayari magoli yalikuwa mawili na kipindi cha kwanza Jkt wameshalala goli tatu.

2) mechi ya Prison hakukuwa na party ya After match wala Pre match party na mwisho wake Simba hakupata matokeo ya mvua ya magoli. Hii maanake walishaona kabisa kuwa hakufanikiwa kuwekeza katika rushwa hivyo hakuweza kutangaza shangwe kwa mashabiki kabla ya mpambano.

3) mechi ya Coastal union dhidi ya Simba.
Simba kabla hata ya mechi kuchezwa walishatangaza party. Maanake Simba walishajua na walikuwa wana asilimia mia ya matokeo gani wanaenda kuyapata uwanjani na kutanguliza furaha kwa mashabiki ya kupongezana kwa kuita Party.
Matokeo uwanjani ni kama ilivyokuwa kwa mechi ya Jkt Tanzania, yanapatikana magoli ya mapema zaidi hadi mapumziko magoli matano Simba anaongoza. Uchezaji wa coastal umekuwa wa kujikanyaga kanyaga kama wanajifunza mpira vile.

Kuna dalili ya rushwa na upangaji wa matokeo hata katika timu ya Simba pia.
 
1)Party ngapi zimetangazwa kabla ya mechi haijachezwa?
2) kwanini mlivyoenda Sumbawanga haikutangazwa party kabla ya mechi kama party ni kawaida yenu?
3) kwanini mkitangaza party mkoani basi kwenye mechi yenu kuna kuwa magoli zaidi ya mawili kipindi Cha kwanza?
Na umbali unachangia,
 
Kukiwa na tuhuma mbali mbali juu ya upangaji wa matokeo, ambapo timu ya Simba ilishapeleka mashitaka yao juu ya tabia ya upangaji wa matokeo ndani ya ligi kuu unafanywa na klabu ya Yanga kupitia kwa mshauri wa klabu bwana Senzo.

Wakati tuhuma hizo zikiwa zinqfanyiwa kazi na vyombo husika, kuna kitendo kimoja ama tabia moja inayofanywa na klabu ya Simba ambayo kimsingi naona kama wanajua kile kinachoenda kutokea uwanjani pindi waendapo mikoani.

1) mechi ya Jkt Tanzania vs Simba
Simba walitangaza kufanyika kwa party ambapo waliita pre match party. Hapa unaona kabisa kuwa Simba walikuwa na uhakika wa kupata furaha iwe isiwe. Na kweli tunaona magoli ya mapema zaidi kufungwa ambapo ndani ya dakika 20 tayari magoli yalikuwa mawili na kipindi cha kwanza Jkt wameshalala goli tatu.

2) mechi ya Prison hakukuwa na party ya After match wala Pre match party na mwisho wake Simba hakupata matokeo ya mvua ya magoli. Hii maanake walishaona kabisa kuwa hakufanikiwa kuwekeza katika rushwa hivyo hakuweza kutangaza shangwe kwa mashabiki kabla ya mpambano.

3) mechi ya Coastal union dhidi ya Simba.
Simba kabla hata ya mechi kuchezwa walishatangaza party. Maanake Simba walishajua na walikuwa wana asilimia mia ya matokeo gani wanaenda kuyapata uwanjani na kutanguliza furaha kwa mashabiki ya kupongezana kwa kuita Party.
Matokeo uwanjani ni kama ilivyokuwa kwa mechi ya Jkt Tanzania, yanapatikana magoli ya mapema zaidi hadi mapumziko magoli matano Simba anaongoza. Uchezaji wa coastal umekuwa wa kujikanyaga kanyaga kama wanajifunza mpira vile.

Kuna dalili ya rushwa na upangaji wa matokeo hata katika timu ya Simba pia.
Simba ndio wanaoongoza kwa kupanga matokeo nchi hii...hii inafahamika vizuri na watu wanaojiita wa mpira
 
1.Kivip party inahusishwa na upangaji huo?!.

2.Je kufungwa kwa simba hakuwez kuwa upangaji wa matokeo pia?!..

3. Je simba sc hawatakiwi kushinda?!....
 
Yanga mliwahi kupigwa 4 acheni na wenzenu wapigwe mnataka mmepigwe nyinyi tu. huyu Simba ni mume wa kila timu
Hoja sio coastal kufungwa magoli mangapi. Hoja ni kwanini inapotangazwa Simba kufanya party mikoani aidha baada ya mechi ama kabla ya mechi, basi ni lazima Simba wapate matokeo ya magoli 4+ hapa uoni kama siri inayotangulia kabla ya mechi? Ni ngumu sana kuandaa party ikiwa hujui matokeo ya mechi itakuaje kwasababu endapo matokeo yatakuwa ni baada ni wazi washabiki hawatokuwa na morali ya kuudhulia party. Na hata ikiwa party itatangulia kabla ya mechi kisha mechi ikaisha pasipo kupata matokeo basi bila shaka mashabiki lazima watalaumu kwa kufocus katika party badala ya mechi.
Kuandaa sherehe ya matokeo kabla ya mpira kuchezwa kuna dalili kubwa ya kuwepo kwa rushwa ya upangaji matokeo.
 
Kukiwa na tuhuma mbali mbali juu ya upangaji wa matokeo, ambapo timu ya Simba ilishapeleka mashitaka yao juu ya tabia ya upangaji wa matokeo ndani ya ligi kuu unafanywa na klabu ya Yanga kupitia kwa mshauri wa klabu bwana Senzo.

Wakati tuhuma hizo zikiwa zinqfanyiwa kazi na vyombo husika, kuna kitendo kimoja ama tabia moja inayofanywa na klabu ya Simba ambayo kimsingi naona kama wanajua kile kinachoenda kutokea uwanjani pindi waendapo mikoani.

1) mechi ya Jkt Tanzania vs Simba
Simba walitangaza kufanyika kwa party ambapo waliita pre match party. Hapa unaona kabisa kuwa Simba walikuwa na uhakika wa kupata furaha iwe isiwe. Na kweli tunaona magoli ya mapema zaidi kufungwa ambapo ndani ya dakika 20 tayari magoli yalikuwa mawili na kipindi cha kwanza Jkt wameshalala goli tatu.

2) mechi ya Prison hakukuwa na party ya After match wala Pre match party na mwisho wake Simba hakupata matokeo ya mvua ya magoli. Hii maanake walishaona kabisa kuwa hakufanikiwa kuwekeza katika rushwa hivyo hakuweza kutangaza shangwe kwa mashabiki kabla ya mpambano.

3) mechi ya Coastal union dhidi ya Simba.
Simba kabla hata ya mechi kuchezwa walishatangaza party. Maanake Simba walishajua na walikuwa wana asilimia mia ya matokeo gani wanaenda kuyapata uwanjani na kutanguliza furaha kwa mashabiki ya kupongezana kwa kuita Party.
Matokeo uwanjani ni kama ilivyokuwa kwa mechi ya Jkt Tanzania, yanapatikana magoli ya mapema zaidi hadi mapumziko magoli matano Simba anaongoza. Uchezaji wa coastal umekuwa wa kujikanyaga kanyaga kama wanajifunza mpira vile.

Kuna dalili ya rushwa na upangaji wa matokeo hata katika timu ya Simba pia.

Mbona utopolo mnakuwa na akili maandazi namna hiyo?
Unaweza kututhibitishia kuwa pre match party inaambatana na upangaji wa matokeo!?
Tuletee ushahidi usio na shaka kuwa kulikuwa na rushwa!
Hoja kuwa eti kukiwa na pre match party basi simba inapata goli za haraka kipindi cha kwanza,ni uzwazwa wa hali ya juu!
Hivi wewe unajua mpira zaidi ya kocha wao hao coastal? Je unakumbuks hao coastal washawahi pia kupigwa 8 na simba!?
 
Uamuzi wa Simba kuripoti polisi tuhuma za utopolo kupanga matokeo kumewachanganya sana utopolo kwani walitaka wachukue ubingwa kwa njia za mkato sasa hivi wamekaa kuzusha zusha kama wana ushahidi wa simba kuhusika na kupanga matokeo wapeleke takukuru badaala ya kulalamika kwa njia isiyo rasimi
 
1.Kivip party inahusishwa na upangaji huo?!.

2.Je kufungwa kwa simba hakuwez kuwa upangaji wa matokeo pia?!..

3. Je simba sc hawatakiwi kushinda?!....
Simba baada ya kusafiri kwenda kwa Mtibwa, mechi iliyofuata alienda dodoma kucheza dhidi ya Jkt Tanzania hapa kabla hata pambano halijachezwa ilishatangazwa party? Je lengo la party ni lipi? Je party inawezaje kunoga kwa huku haujapata matokeo uwanjani? Hapa maanake uongozi wa Simba ulikuwa na asilimia mia moja ya nini kitatokea uwanjani. Hii hali ipo sawasawa na mechi ya coastal leo hii. Simba wanapata magoli 2+ ndani ya dakika 45 za kwanza. Kuna nini hapo?

2) Kama party ni desturi mpya ya Simba pindi waendapo mikoani je kwanini hakukuwa na tangazo la kuwepo kwa party huko Sumbawanga? Au Sumbawanga hakuna washabiki wa Simba? Hapa unaona kabisa uongozi wa Simba hawakupata nafasi au mwanya wa kutembeza rushwa hivyo hawakuwa na uhakika na matokeo ya uwanjani.
 
Mbona utopolo mnakuwa na akili maandazi namna hiyo?
Unaweza kututhibitishia kuwa pre match party inaambatana na upangaji wa matokeo!?
Tuletee ushahidi usio na shaka kuwa kulikuwa na rushwa!
Hoja kuwa eti kukiwa na pre match party basi simba inapata goli za haraka kipindi cha kwanza,ni uzwazwa wa hali ya juu!
Hivi wewe unajua mpira zaidi ya kocha wao hao coastal? Je unakumbuks hao coastal washawahi pia kupigwa 8 na simba!?
Lini ulisikia kwenye interview kocha anahojiwa kisha akatoa shutuma kuwa tumefungwa kwasababu ya timu ilipewa rushwa? Kwani kocha na wachezaji au marefa hawawezi kupewa rushwa ili wafungwe. Yaani wewe ndio akili matope kabisa huwezi kuufungua akili yako ipasavyo.

Kuthibitisha pre match party kama inaamvatana na matokeo.

Nakuuliza swali je inawezekana vipi mzazi kuandaa sherehe ya kumpongeza mtoto wake kufanya vizuri ikiwa mtoto mwenyewe hajafanya bado huo mtihani? Kufanya hivyo maanake mzazi ameiba mitihani hivyo ana uhakika wa kufaulu mwanae kabla huo mtihani hajaufanya.

Nauliza tena kwanini hakukuwa na tangazo la kuwepo party kule Sumbawanga?
 
Simba baada ya kusafiri kwenda kwa Mtibwa, mechi iliyofuata alienda dodoma kucheza dhidi ya Jkt Tanzania hapa kabla hata pambano halijachezwa ilishatangazwa party? Je lengo la party ni lipi? Je party inawezaje kunoga kwa huku haujapata matokeo uwanjani? Hapa maanake uongozi wa Simba ulikuwa na asilimia mia moja ya nini kitatokea uwanjani. Hii hali ipo sawasawa na mechi ya coastal leo hii. Simba wanapata magoli 2+ ndani ya dakika 45 za kwanza. Kuna nini hapo?

2) Kama party ni desturi mpya ya Simba pindi waendapo mikoani je kwanini hakukuwa na tangazo la kuwepo kwa party huko Sumbawanga? Au Sumbawanga hakuna washabiki wa Simba? Hapa unaona kabisa uongozi wa Simba hawakupata nafasi au mwanya wa kutembeza rushwa hivyo hawakuwa na uhakika na matokeo ya uwanjani.
Hujajibu maswari niliyo uliza!!
1. Kivip kufanya pre match party iwe sababu ya upangaji huo!? Una hakika gani match nyingine simba hakufanya party?
2. Je simba kushinda dhidi ya timu nyingine ni upangaji wamatokeo?, vip kufungwa haiwez kuwa upangaji wa matokeo pia?
3. Simba hatakiwi kushinda?

NAOMBA UJIBU HAYO MASWARI KWA UFASAHA USIO NA UKAKASI!!!!!
 
Kwahio unatakaje
Kukiwa na tuhuma mbali mbali juu ya upangaji wa matokeo, ambapo timu ya Simba ilishapeleka mashitaka yao juu ya tabia ya upangaji wa matokeo ndani ya ligi kuu unafanywa na klabu ya Yanga kupitia kwa mshauri wa klabu bwana Senzo.

Wakati tuhuma hizo zikiwa zinqfanyiwa kazi na vyombo husika, kuna kitendo kimoja ama tabia moja inayofanywa na klabu ya Simba ambayo kimsingi naona kama wanajua kile kinachoenda kutokea uwanjani pindi waendapo mikoani.

1) mechi ya Jkt Tanzania vs Simba
Simba walitangaza kufanyika kwa party ambapo waliita pre match party. Hapa unaona kabisa kuwa Simba walikuwa na uhakika wa kupata furaha iwe isiwe. Na kweli tunaona magoli ya mapema zaidi kufungwa ambapo ndani ya dakika 20 tayari magoli yalikuwa mawili na kipindi cha kwanza Jkt wameshalala goli tatu.

2) mechi ya Prison hakukuwa na party ya After match wala Pre match party na mwisho wake Simba hakupata matokeo ya mvua ya magoli. Hii maanake walishaona kabisa kuwa hakufanikiwa kuwekeza katika rushwa hivyo hakuweza kutangaza shangwe kwa mashabiki kabla ya mpambano.

3) mechi ya Coastal union dhidi ya Simba.
Simba kabla hata ya mechi kuchezwa walishatangaza party. Maanake Simba walishajua na walikuwa wana asilimia mia ya matokeo gani wanaenda kuyapata uwanjani na kutanguliza furaha kwa mashabiki ya kupongezana kwa kuita Party.
Matokeo uwanjani ni kama ilivyokuwa kwa mechi ya Jkt Tanzania, yanapatikana magoli ya mapema zaidi hadi mapumziko magoli matano Simba anaongoza. Uchezaji wa coastal umekuwa wa kujikanyaga kanyaga kama wanajifunza mpira vile.

Kuna dalili ya rushwa na upangaji wa matokeo hata katika timu ya Simba pia.
 
Kwahio unatakaje
Kukiwa na tuhuma mbali mbali juu ya upangaji wa matokeo, ambapo timu ya Simba ilishapeleka mashitaka yao juu ya tabia ya upangaji wa matokeo ndani ya ligi kuu unafanywa na klabu ya Yanga kupitia kwa mshauri wa klabu bwana Senzo.

Wakati tuhuma hizo zikiwa zinqfanyiwa kazi na vyombo husika, kuna kitendo kimoja ama tabia moja inayofanywa na klabu ya Simba ambayo kimsingi naona kama wanajua kile kinachoenda kutokea uwanjani pindi waendapo mikoani.

1) mechi ya Jkt Tanzania vs Simba
Simba walitangaza kufanyika kwa party ambapo waliita pre match party. Hapa unaona kabisa kuwa Simba walikuwa na uhakika wa kupata furaha iwe isiwe. Na kweli tunaona magoli ya mapema zaidi kufungwa ambapo ndani ya dakika 20 tayari magoli yalikuwa mawili na kipindi cha kwanza Jkt wameshalala goli tatu.

2) mechi ya Prison hakukuwa na party ya After match wala Pre match party na mwisho wake Simba hakupata matokeo ya mvua ya magoli. Hii maanake walishaona kabisa kuwa hakufanikiwa kuwekeza katika rushwa hivyo hakuweza kutangaza shangwe kwa mashabiki kabla ya mpambano.

3) mechi ya Coastal union dhidi ya Simba.
Simba kabla hata ya mechi kuchezwa walishatangaza party. Maanake Simba walishajua na walikuwa wana asilimia mia ya matokeo gani wanaenda kuyapata uwanjani na kutanguliza furaha kwa mashabiki ya kupongezana kwa kuita Party.
Matokeo uwanjani ni kama ilivyokuwa kwa mechi ya Jkt Tanzania, yanapatikana magoli ya mapema zaidi hadi mapumziko magoli matano Simba anaongoza. Uchezaji wa coastal umekuwa wa kujikanyaga kanyaga kama wanajifunza mpira vile.

Kuna dalili ya rushwa na upangaji wa matokeo hata katika timu ya Simba pia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom