Upandishaji madaraja umeishia wapi?

Upandishaji madaraja umeishia wapi?

Dharau ya Serikali dhidi ya Watumishi wa umma tumeitaka,tumeijenga na tumeistawisha sisi Watumishi wenyewe!!
Tumekua waoga,wanafiki na wapuuzi kupita kiasi,acha tuisome namba!!Haki kibao tu tumenyan'anywa lakini tumekaa kimya hatuna Umoja!!

Na 2020 baadhi ya wapumbavu watashirikiana na ma Ded na polisi kuiba kura kuipa Ccm hiohio!

..WE PLANTED THE SEED OF OUR OWN DESTRUCTION''

juzi pale dodoma majitu ya Cwt yameenda kazi kupiga makofi tu na kunyanyua makofia yakaishia kuambulia M 60 za mchango bila hata aibu!!Shame on us!natamani hata hii mishahara ingepunguzwa labda akili ingetusogea!!
 
Back
Top Bottom