Umetumwa?
Acha unafiki wako hapa, tunamfaham edward ngoyayi lowassa kama mtu jasiri na mwenye tamaa asiyetosheka. Ni mtu anayejali masilahi yake binafsi hata kwa gharama za wanyonge.
Hatuhitaji na wala usipoteze muda wako kumpaka mafuta, tunayajua yote unayoandika.
Na ukome
Baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja Edward Lowassa ni Uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni Edward Lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama Lowassa angeendelea kuwa PM leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.
Hallow, Great thinkers!!!!
Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki Edward Lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.
Kwangu mimi, Edward Lowassa namuona kama
1. kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji

Nimegusa tu mazuri ya Laigwanani Lowassa, mazuri yapi ya Lowassa unayajua? Yaandike hapa
waliojunga JF 2010s wametofautiana sana!!

Na nani? Na kwa nini? Na kama nimetumwa? Na kama sijatumwa?
Haiwezekani kwamba mtu akawa na mabaya tu akose zuri hata moja.Sasa kama tutaona hata mchakato wa uanzishaji wa shule za kata halikuwa na msingi utakuwa wendawazimu.Kiukweli elimu shule za kata zipo chini lakini zimechochea fikra za kimageuzi.Nataka niseme kwamba kama vijana wengi na ambao wamekuwa na mwamko mkubwa wa kutaka mageuzi ni kwa sababu wamepita kwenye shule hizo hizo za kata.kama wangebaki pale pale std seven wasingeona na/au wasingepata mwamko wa kuona something is wrong somewhere.Kwamba Mh Lowasa alijiuzulu kwa kashfa ni suala lingine lakini tukubali kiutendaji alijitahidi.Angalia utendaji wa wakurugrnzi enzi zake n.k
Huo ndo uwezo wako wa kufikiri. Nadhani unatumika kama mipira ya kufanyia ngono then ukimaliza kazi yao wanakutupa tena jalalani.
Laiti ungejua pengine ungekuwa na fikira za ukombozi ili shangazi, babu, bibi na wadogo zako wapate kukombolewa kuliko kutetea fikira za mafisadi kama Lowasa.
Hujatulisha matapishi bado.
Tanzania ina watu wengi waadirifu why Lowassa everyday??