Upande wa moyo unauma chin ya ziwa

Upande wa moyo unauma chin ya ziwa

Gesi ilinisumbua sana kwa miezi mingi kila nikila chakula hata kama ni kidogo tumbo linajaa sana ilivyoisha hali ya gesi ndo pameanza kuniuma chini ya ziwa upande wa kushoto
Nenda kachek hospital, nilikuwa na the same case,kwa upande wangu dr aligundua gas ndo inanisumbua...
 
Gesi ilinisumbua sana kwa miezi mingi kila nikila chakula hata kama ni kidogo tumbo linajaa sana ilivyoisha hali ya gesi ndo pameanza kuniuma chini ya ziwa upande wa kushoto
Ulipona
 
Mwenye kujua hili napata maumivu kama ya kidonda chini ya ziwa lakini nikijaribu kutafuta maumivu nayapata kwenye mbavu ya kwanza katikati nitakuwa nasumbuliwa na nini umri wangu miaka 25
Uliwahi kupata ajali au kupigwa?
Kuna uwezekano bandama inashida, vipimo vitatoa majibu.
Pia nimuhimu kuchunguza juu ya titi na moyo pia mapafu. Ila kwa ufinyu wa maelezo na taarifa huwenda bandama inashida.
 
Back
Top Bottom