Upadri wa Anglicana wamtoa ki maisha.

Upadri wa Anglicana wamtoa ki maisha.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,353
Aliyenipa hii stori nilimjjua kupitia JF, kama utaisoma usinisute tafadhali, nia yangu ni kufahamisha wengine yanayoendelea duniani.

Kuna kijana wa ki Tanzania alikwenda Uingereza kusoma MBA. Alikua mgeni na hajui mji. Kanisa lilikokua karibu na University lilikua Church of England. Padri akiwa mtu mzima sana.

Baada ya misa walimkaribisha chai, walimuomba pia kuwa kama ataweza kujiunga na usomaji wa masomo kanisani. Katika mazungumzo walimuona jamaa yuko bright sana. Walimueleza jinsi kulivyo na uhaba wa mapadre wa Anglicana. Jamaa hakua muanglicana. Walimueleza kuwa kuna funds za kupeleka vijana kusomea degree ya theology Canterbury lakini hatupati watu.

Kijana akizingatia ni self sponsor wa kozi yake. Akachambishe vibibi apate ada. Aliwauliza kama anaweza kuomba, walimkubali haraka. Alikua bado na viza ya uanafunzi aliomba chuo cha theology akapata with full sponsorship.

Amaemaliza shule sasa ni padre. Amepewa jimbo lake huko kwa wazungu mashambani huko. Yeye ndiye anasimamia Ibada za mazishi, ubatizo, ndoa.

Kuna vizee vinamfuta vinamwambia mimi Nina akiba ya £100,000 ninataka zibadilishe maisha ya watu. Ninakuamini wewe baba Padre.

Jamaa maisha yake yamebadilika kabisa. Amenza kwa kusimamisha ghorofa kijijini kwao.
 
Aliyeniphii stori nilimjjua kupitia JF, kama utaisoma usinisute tafadhali, nia yangu ni kufahamisha wengine yanayoendelea duniani.

Kuna kijana wa ki Tanzania alikwenda Uingereza kusoma MBA. Alikua mgeni na hajui mji. Kanisa lilikokua karibu na University lilikua Church of England. Padri akiwa mtu mzima sana.

Baada ya misa walimkaribisha chai, walimuomba pia kuwa kama ataweza kujiunga na usomaji wa masomo kanisani. Katika mazungumzo walimuona jamaa yuko bright sana. Walimueleza jinsi kulivyo na uhaba wa mapadre wa Anglicana. Jamaa hakua muanglicana. Walimueleza kuwa kuna funds za kupeleka vijana kusomea degree ya theology Canterbury lakini hawapati watu.

Kijana akizingatia ni self sponsor wa kozi yake. Akachambishe vibibi apate ada. Aliwauliza kama anaweza kuomba, walimkubali haraka. Alikua bado na viza ya uanafunzi aliomba chuo cha theology akapata with full sponsorship.

Amaemaliza shule sasa ni padre. Amepewa jimbo lake huko kwa wazungu mashambani huko. Yeye ndiye anasimamia I ada za mazishi, ubatizo, mazishi.

Kuna vizee vinamfuta vinamwambia mimi Nina akiba ya £100,000 ninataka zibadilishe maisha ya watu. Ninakuambin wewe baba Padre.

Jamaa maisha yake yamebadilika kabisa. Amenza kwa kusimamisha ghorofa kijijini kwao.
Anglican hakuna padri kuna mchungaji
 
Aliyeniphii stori nilimjjua kupitia JF, kama utaisoma usinisute tafadhali, nia yangu ni kufahamisha wengine yanayoendelea duniani.

Kuna kijana wa ki Tanzania alikwenda Uingereza kusoma MBA. Alikua mgeni na hajui mji. Kanisa lilikokua karibu na University lilikua Church of England. Padri akiwa mtu mzima sana.

Baada ya misa walimkaribisha chai, walimuomba pia kuwa kama ataweza kujiunga na usomaji wa masomo kanisani. Katika mazungumzo walimuona jamaa yuko bright sana. Walimueleza jinsi kulivyo na uhaba wa mapadre wa Anglicana. Jamaa hakua muanglicana. Walimueleza kuwa kuna funds za kupeleka vijana kusomea degree ya theology Canterbury lakini hatupati watu.

Kijana akizingatia ni self sponsor wa kozi yake. Akachambishe vibibi apate ada. Aliwauliza kama anaweza kuomba, walimkubali haraka. Alikua bado na viza ya uanafunzi aliomba chuo cha theology akapata with full sponsorship.

Amaemaliza shule sasa ni padre. Amepewa jimbo lake huko kwa wazungu mashambani huko. Yeye ndiye anasimamia I ada za mazishi, ubatizo, mazishi.

Kuna vizee vinamfuta vinamwambia mimi Nina akiba ya £100,000 ninataka zibadilishe maisha ya watu. Ninakuambin wewe baba Padre.

Jamaa maisha yake yamebadilika kabisa. Amenza kwa kusimamisha ghorofa kijijini kwao.

Usiongee mambo usiyoyajua...…..Kanisa la Anglican halina Mapadre wala Upadre! Upadre ni Sakramenti ambayo inapatikana katika Kanisa Katoliki tu!
 
Huko seminary kuna chekeche huko, mpaka ufikie u flateri wewe mwanaume.
Nina brother wangu ambaye alinitangulia madarasa mawili kasoma shule ya Serikali form 1-6 shule hiyohiyo kahitimu mafunzo yake mwaka uliopita hivi sasa anahudumu pamoja na Ask. Wa jimbo la shinyanga Baba liberatus sango.

Ni bro wangu kwa kujipa maana nimeishi nae kama ndugu muongoza njia wangu japo nilikuja kukengeuka na kuwa na Tabia za Kiyuda, upilato n.k 😊😊 BTW anamiliki Cruiser la maana la burebure tu Hahaha
 
Nina brother wangu ambaye alinitangulia madarasa mawili kasoma shule ya Serikali form 1-6 shule hiyohiyo kahitimu mafunzo yake mwaka uliopita hivi sasa anahudumu pamoja na Ask. Wa jimbo la shinyanga Baba liberatus sango.

Ni bro wangu kwa kujipa maana nimeishi nae kama ndugu muongoza njia wangu japo nilikuja kukengeuka na kuwa na Tabia za Kiyuda, upilato n.k BTW anamiliki Cruiser la maana la burebure tu Hahaha
Shida ya hizi kazi ni pale wamepiga marufuku kumiliki familia. Ila zina good time sana
 
Back
Top Bottom