Wapo mapadre na wachungaji wa Kabisa Anglikana hata hapo ulipo.Anglican hakuna padri kuna mchungaji
Namjua Bro wako, nimesalisha naye misa juzi hapa Parokia ya SAYU SAYU, na mwaka jana X mass tulisalisha cathedral ya Shinyanga pale NgokoloNina brother wangu ambaye alinitangulia madarasa mawili kasoma shule ya Serikali form 1-6 shule hiyohiyo kahitimu mafunzo yake mwaka uliopita hivi sasa anahudumu pamoja na Ask. Wa jimbo la shinyanga Baba liberatus sango.
Ni bro wangu kwa kujipa maana nimeishi nae kama ndugu muongoza njia wangu japo nilikuja kukengeuka na kuwa na Tabia za Kiyuda, upilato n.k 😊😊 BTW anamiliki Cruiser la maana la burebure tu Hahaha
Aliyeniphii stori nilimjjua kupitia JF, kama utaisoma usinisute tafadhali, nia yangu ni kufahamisha wengine yanayoendelea duniani.
Kuna kijana wa ki Tanzania alikwenda Uingereza kusoma MBA. Alikua mgeni na hajui mji. Kanisa lilikokua karibu na University lilikua Church of England. Padri akiwa mtu mzima sana.
Baada ya misa walimkaribisha chai, walimuomba pia kuwa kama ataweza kujiunga na usomaji wa masomo kanisani. Katika mazungumzo walimuona jamaa yuko bright sana. Walimueleza jinsi kulivyo na uhaba wa mapadre wa Anglicana. Jamaa hakua muanglicana. Walimueleza kuwa kuna funds za kupeleka vijana kusomea degree ya theology Canterbury lakini hatupati watu.
Kijana akizingatia ni self sponsor wa kozi yake. Akachambishe vibibi apate ada. Aliwauliza kama anaweza kuomba, walimkubali haraka. Alikua bado na viza ya uanafunzi aliomba chuo cha theology akapata with full sponsorship.
Amaemaliza shule sasa ni padre. Amepewa jimbo lake huko kwa wazungu mashambani huko. Yeye ndiye anasimamia I ada za mazishi, ubatizo, mazishi.
Kuna vizee vinamfuta vinamwambia mimi Nina akiba ya £100,000 ninataka zibadilishe maisha ya watu. Ninakuambin wewe baba Padre.
Jamaa maisha yake yamebadilika kabisa. Amenza kwa kusimamisha ghorofa kijijini kwao.
nimeamini kuna watu na viatu.....Huyo kijana aliyekwenda kusoma.
sasa kama padiri unatumia jina fake kwa sababu gani....Namjua Bro wako, nimesalisha naye misa juzi hapa Parokia ya SAYU SAYU, na mwaka jana X mass tulisalisha cathedral ya Shinyanga pale Ngokolo
Hizi kazi za kuchambisha ni kujitolea muda tu, unajikuta katika shift ya masaa 12 umefanya kazi masaa manne, kuwepo kweko tu pale unahesabika uko kazini. Unaweza kujikuta siku sita za wiki umefanya masaa 12 each day. Ijumaa inaingia £800 baada ya tax hiyo ni one week pay.I like your Stories girl!
Ila hao wanachambisha vibibi na vibabu wapo ambao nawafahamu ambao wengine wameachiwa nyumba kabisa na mali kadhaa.
Inategemea na target zako.
Yupo mmama mmoja ambae alikuwa akimchunga mzee ambae alikuwa na matatizo ya akili.
Baadae yule mzee alipofariki yule mama akaja kufatufwa kwani jina lake lilikuwa kwenye mali zilizorithishwa na yule mzee.
Lakini yule mama aliuza hiyo nyumba na kununua nyingine mbili.
Msalimie sana aiseee! Hakika penye nia pana njiaNamjua Bro wako, nimesalisha naye misa juzi hapa Parokia ya SAYU SAYU, na mwaka jana X mass tulisalisha cathedral ya Shinyanga pale Ngokolo
Unataka nipotezwe baba, nina wadogo zangu nawaleasasa kama padiri unatumia jina fake kwa sababu gani....
nyie hakuna mtu anawagusa.... wala sidhani kama unaweza kuandika mambo ya ajabu. Mimi nilitumia jina fake maana nilifuata mkumbo tu, nikijua namna ya kubadilisha naweka jina langu wala siogopi kitu.Unataka nipotezwe baba, nina wadogo zangu nawalea
[emoji1][emoji1]Naomba umpe jamaa address yangu nataka nikaimbe kwaya kanisani kwake
Usiongee mambo usiyoyajua...…..Kanisa la Anglican halina Mapadre wala Upadre! Upadre ni Sakramenti ambayo inapatikana katika Kanisa Katoliki tu!