Up to 15 dead after fire and blast at Texas fertilizer plant

si wangesema many ...tu kama huku wamenichanganyaje? dah ngoja nirudi school aisee

Sio lazima waseme many. Wangeweza pia kusema 'a lot', 'ton(s)', a whole bunch, na kadhalika.
 
si wangesema many ...tu kama huku wamenichanganyaje? dah ngoja nirudi school aisee
Maana halisi ya dozen ni 12, ni kipimo cha mafungu ya vitu/watu (mfano seti ya sahani za nyumbani ziilikuwa vinauzwa kwa dazeni moja, hii ni kwasababu familia za zamani zilikuwa kubwa).

Kumbuka dozen ni kipimo kidogo kulinganisha na vipimo vingine vya mafungu, wanaposema donzens wanamaanisha zaidi ya dozen moja ambayo ni 24 na kuendelea, huwezi kusema watu 36 waliopata ajali ni 'many' au 'a lot' (japokuwa ni sahihi). Hii ni kwasabau maneno hayo huleta, 'shock factor'. 'A lot' inaweza kabisa kutafsiriwa kuwa ni 20,000 au hata 2,000,000. Unapokuwa unataja namba kubwa kama hizo inabidi utumie vipimo vingine.

kwa kifupi neno hili hutumika kisaikolojia zaidi kuondoa wasiwasi kwa jamii wakati wanaripoti janga au vurumai husika.
 
Kumbuka dozen ni kipimo kidogo kulinganisha na vipimo vingine vya mafungu, wanaposema donzens wanamaanisha zaidi ya dozen moja ambayo ni 24 na kuendelea, huwezi kusema watu 36 waliopata ajali ni 'many' au 'a lot' (japokuwa ni sahihi).

Kwa hiyo wanaposema 'dozens' ni wanamaanisha hiyo maana moja tu ambayo wewe umeiweka hapa? Maana kwa mujibu wa kamusi 'dozens' pia inamaanisha watu au vitu vingi.

Au kamusi zimekosea bwana Chamoto?

2 dozens [plural] : large numbers of people or things
▪ People entered the park by/in the dozens. [=large groups of people entered the park] - often + of ▪ Dozens of [=many] people were at the park. ▪ The shop sells dozens and dozens of [=very many] kinds of tea.
 
Kwa hiyo wanaposema 'dozens' ni wanamaanisha hiyo maana moja tu ambayo wewe umeiweka hapa? Maana kwa mujibu wa kamusi 'dozens' pia inamaanisha watu au vitu vingi.

Au kamusi zimekosea bwana Chamoto?

Nilichosema ni kuwa "maana halisi" ni zao la 12 lakini pia '12' inaweza kuwa 'Many'. Swali ni kwanini waseme dozens badala ya many? Huoni kuwa ukali unapungua unaposema "dozens of people died" kuliko ukisema "a lot of people died".
 
Dozens ikimaanisha kama huo mfano wa kamusi niliouweka? Au dozens ikimaanisha hiyo maana 'halisi' uliyoiweka wewe?

Kuhusu ukali, kusema kweli hiyo inategemea tu na jinsi mpokeaji wa taarifa anavyozipokea. Wewe upokeavyo yaweza isiwe sawa na mimi nipikeavyo.

Kuna watu wengine hata ukimpa 'hi' anaona umemtusi. So hilo la ukali ama upole ni subjective.

Ila, nadhani ni bora kutumia dozens au hata many kuliko 'a whole bunch'. Wewe unaonaje?
 
Ewaa! Hili la kuwa subjective ndiyo wahusika wanajaribu kuliepuka kwasababu linaweza kuleta shock factor kwa baadhi ya watu. A whole bunch ina-exaggerate sana inaweza leta female hysteria kabisa lol.
 
shukrani kwa somo mkuu

Back
Top Bottom