Uozo wa Idara ya Ardhi Halmashauri mji wa Ifakara

Uozo wa Idara ya Ardhi Halmashauri mji wa Ifakara

TEBOGO

Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
7
Reaction score
0
Waziri Lukuvi tunaomba ufike halmashauri ya ardhi Ifakara idara ya ardhi uone uozo uliopo pale. Unaomba kupatiwa hadi na unazungushwa pasipo kupewa maelezo ya kutosha. Maombi ya hati yabidi yaandaliwe Ifakara then yatumwe Morogoro kwa ajili ya kuandaliwa hati lakini matokeo yake wanakuzungusha pasipo kujua kama documents zimetumwa Morogoro au laa?

Wanakutengenezea mazingira ya kutoa chochote ukiwa mgumu ndio hivyo unachelewa kupata haki yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom