Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,691
Leo majira ya saa8 mchana nilimsindikiza my wife alikuwa anasafiri na Fly Emirates....nilimfikisha JNIA(JULIUS NYERERE INT. AIRPORT) Salama salimini...niliendelea kukaa maeneo ya kiwanja mpaka saa 1 baadae...mara kukatokea taharuki,Ndege ya Emirates inarudi..polisi wanakmbiakimbia,watu wa usalama wa Taifa,wategua mabomu na Mbwa zao za kunusa mabomu wakaizunguka Ndege...ajabu na kweli n kuwa Rubani alishindwa kuendelea na safari baada ya abiria kugundulika kuwa amepanda na silaha(pisto)...ikawa taharuki kwa Rubani hewani ikabidi arudishe ndege..maswali yakawa je usalama u wap ktk uwanja wetu?mpaka mtu amepita na silaha adi ndani ya ndege,je vyombo vyetu vya usalama JNIA vinafanya nini?na kama uyo Mama(mmiliki wa silaha) asingejisalimisha kwa pilot usalama wa abiria wengne ukoje? TUNAOMBA MAMLAKA HUSIKA ZIWAJIBIKE!
pale kuna ulinzi gani mkuu,watu wanapita na madawa na hakuna kitu kinachoweza kugundua,bado tupo nyuma sana ktk mambo ya teke linalokujia
Pale ni uozo mtupu! Utafikiri kituo cha daladalaInasikitisha sana kwa tukio hilo lisilo la kawaida!
Nashindwa kujua nini kilitokea kwa watu wa Airport Security hadi silaha ikapita ikiwa kwenye Hand-Luggage!
Wakaguzi wote wa zamu hiyo wanalazimika kutoa maelezo ya kina, na Mwajiri wao kulipia delay hiyo!
Gharama ya ndege jamii ya Boeing kupaa na kurudi uwanjani kwa emergency ya uzembe-uzembe ni kubwa mno, yapasa waliohusika wawajibike!
Inasikitisha sana kwa tukio hilo lisilo la kawaida!
Nashindwa kujua nini kilitokea kwa watu wa Airport Security hadi silaha ikapita ikiwa kwenye Hand-Luggage!
Wakaguzi wote wa zamu hiyo wanalazimika kutoa maelezo ya kina, na Mwajiri wao kulipia delay hiyo!
Gharama ya ndege jamii ya Boeing kupaa na kurudi uwanjani kwa emergency ya uzembe-uzembe ni kubwa mno, yapasa waliohusika wawajibike!
airport imeoza na kuhusu uwajibikaji tanzania hatuna uadilifu huoKumbe ule ukaguzi wanafanyaga pale ni danganya toto?
Aibu nyingine hii., dah..!