Uongozi wa VODACOM zone ya Ifakara uchunguzwe Mawakala wanalia

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,098
Habarini za majukumu!?????

Kumekuwepo na changamoto za Kiuongozi kwa mawakala wa kusajili laini za Vodacom (Freelancers) katika jimbo la Ifakara na uongozi uliopo sasa kama ifutavyo:,

1. Mawakala hawapewi Tshirt kwa wakati hivyo vijana wengi wanavaa Tshirt zilizopauka na ukizingatia Tshirt izo ukizifua tuu mara moja ndo basi hauwezi kufua tena.
Lakn vijana wamelisema hilo lakn meneja aliopo (Mr Apiov) amekua bado ni mgumu wa kutatua changamoto iyo, hivyo kufanya vijana wengi sasahv kutoingia kazn kusajili laini na hatimaye connections zimeshuka. Wakati utaratibu uliotolewa na Meneja kanda Mr Mruta Hamisi ni kila baada ya wiki mbili wanatakiwa kupewa mpya.

2. KAMISHENI(MALIPO)
Vijana wanaingia mtaani kusajili laini,,,na wanasajili bureee na jua kali lote,,,lakn walipo ndo yamezidi kushuka na Meneja wa Jimbo wala hana mzigo nalo,,,hivyo imewafanya vijana kuhamia Mitandao mingine.
>Vodacom wanasema wanalipa kamisheni miezi 6 kwa kila laini inayosajiliwa,,,,lakn kumbe imekua Sio kweli. Maana wakala mwenye miezi 5 kazn, lakn mpk leo bado anapata Tsh 10,000.

3. KUWAIBIA MAWAKALA
Pia inasemekana kuna mchezo ndani ya uongozi ya kufanya malipo ya Freelancer badala ya kuingia kwa Freelancer, baadhi yanaingia kwa Viongozi na Freelancer kujikuta analipwa kiasi kidgo,,,wakati wanazunguka juani,,na wanasajili laini buree wanashinda na njaa,,kulala gesti,,kula alafu mwisho wa mwezi anapata Tsh. 20,000

3. SIMU ZA USAJILI
Kuna simu za kutumia kwny usajili ambazo Vodacom wametoa,,,,ili wapewe vijana kwa ajili ya kufanyia usajili "uliokamilika"" lakn simu izo zimekua za kibaguzi,,,,,,na sasa sijui viongozi wanataka kuziuza??? Wakati vijana hawana simu.
Hivi sasa kuna vijana kutokana na mwenendo usioridhisha wa uongozi wa Vodacom Jimbo la Ifakara Kilombero chini ya Meneja Apiov,,,,wameamua ""wanakutana tuu asubuh alafu wakitawanyika wanaenda zao tuu nyumbani.

4. KUTOTHAMINIWA
Vijana wanapotoa changamoto zao kwny Group la Vodacom Jimbo la Ifakara,,,,hazishughulikiwi,,,na wala haijulikani ni nani wa kushughulikia matatzo ya Freelancers,,,,,na hata meneja wa jimbo Mr Apiov ameshindwa kusimamia uongozi na lawama zote hizi zinaenda kwake,,,hivyo anaweza kuisababishia kampuni ya Vodacom mapato,,maana vijana wanahama wa usajili wanahama mtandao.

Hivyo wanaomba Vodacom makao makuu,,,,,kuja haraka kuzungumza na vijana kabla wote hawajahama.

Mr Mruta Hamisi meneja vodacom kanda ya kati,,,kama bado upo Vodacom,,maana kuna tetesi kuwa ,,kwa sasa haupo tena vodacom.
Lakn cha ajabu tetesi hata alipoulizwa meneja wa jimbo anasema hajui,,yaan mtu anaekufuatia kwa cheo na unaripoti kwake,,eti haujui,,jamani huu ni uongozi?????

VODACOM VIJANA WANALIA WAHINI MAPEMA VIJANA WAMEKUSUDIA KUHAMIA MITANDAO MINGNE.

BY Msimamizi wa MUNGU, wa kazi na haki duniani.
 
Back
Top Bottom