Uongozi wa tanesco arusha hufai

Uongozi wa tanesco arusha hufai

salehehunter

Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
15
Reaction score
0
Uongozi wa tanesco arusha hufai kabisa wala hawashughulikii Matatizo ya Wateja wao sisi Wakazi wa kimandolu manispaa ya arusha haruna umeme leo ni Siku ya tano tumepeleka tarifa kwenye ofisi ya tanesco jibu walio tapatia eti transfoma imeungua na hawana transfoma nyingine ya kuibadili hivi kweli tanesco hawana transfoma nyingine ya kuibadilisha na kuacha wananchi kua gizani kwa Siku tano? Kwa kweli tunaomba wahusika kuliangalia hili tatizo kwani inaelekea uongozi wa arusha hufai kabisa
 
Back
Top Bottom