Najaribu kufuatilia kwa ukaribu sana uongozi wa Raisi mama Samia na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.
Uchumi umekua wana Jamii forum, na alichokifanya ni uwekezaji tu kwenye:
1. Agriculture
2. Mining and Quarrying
3. Construction
4. Manufacturing
Tokea ameingia madarakani nimekua nafuatilia nini anafanya. Vitu hivi ndo vimeweza kupandisha uchumi wa taifa letu.
Ref: Real GDP grew by 5.3% in 2023, up from 4.7% in 2022 (African Development Bank).
Ref 2: Various sources project GDP growth for 2024 to be around 5.4% to 5.7% (IMF, World Bank, African Development Bank, Bank of Tanzania).
Ref: The economy grew by 5.6% in the first three quarters of 2024, with the third quarter showing a 5.9% growth (Bank of Tanzania, National Bureau of Statistics Tanzania).
Nina Imani kubwa huu mwaka ukiisha GDP itafika 5.7% to 6.4%.
Sababu wamekuja na kauli mbiu kubwa ya kuendeleza mazingira ya Biashara, sasa uchumi utaendelea kuimarika zaidi.
Nimeangalia pia namna alivyo ajiri, inabidi kusoma sana kuelewa.
Nina evidence za kutosha sana, japo sio mpenzi wa siasa.