Uongozi wa Jamiiforum

AMAFUMU

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
221
112
Naomba nikili kuwa nimekuwa member since 2011.
nimejifunza mengi sana na nimefaidika na matangazo mbalimbali humu.

Hivyo basi naomba kutoa pole zangu za dhati kabisa na sijui nisemeje ili kueleweka but very very sorry kwa Viongozi wanaokabiliwa na kesi.

Sijawa active sana so sikujua zaidi kinachoendelea hadi pale nilipoona leo kwenye taarifa za habari.

Binafsi nawaombea sana....na tuko pamoja hasa kwenye haki.
ahsanteni sana
 
Hata Mandela alikaa gerezani miaka 22 kwa kuutafuta Uhuru wa south Africa. Haya yanayotekea sasa ni marudio tu.

Let them suffer for what they believe in...
 
Hata Mandela alikaa gerezani miaka 22 kwa kuutafuta Uhuru wa south Africa. Haya yanayotekea sasa ni marudio tu.

Let them suffer for what they believe in...
Era zinatofautiana.....era hizi zinachangamoto la kiuchumi unlike TBT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…