Uongozi wa J. P. Magufuli 2020-2025

Uongozi wa J. P. Magufuli 2020-2025

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,426
Reaction score
3,308
Kama ilivyoada kuweka kumbukumbu sawa, ni wakati wa kuweka yaliyojiri na yatarajiwayo kujiri nchini mwetu chini ya RAIS MAGUFULI.

Mosi Mheshimiwa ameshinda kwa kura milion takribani 12 na kupelekea kuapishwa kuwa Rais kwa awamu ya pili.

Mpaka sasa ameshalifungua bunge ambapo Spika amerudi Job Ndugai

Naibu wa Spika amerudi Tulia Ackson

Pia Amemteua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

Waziri wa Mambo ya Nje na Afrika Mashariki Mh. P. Kabudi

Waziri Wa Fedha Mh. Mpango.

Pia Amemteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Kwa Upande Wa Zanzibar Yupo Hussein Mwinyi kama Rais wa Zanzibar.

Katika uzi Huu Tuangazie Yafuatayo

1 Hali ya SIASA ilivyo kwa sasa nchini

A DEMOKRASIA/TUME ZA CHAGUZI
B KATIBA
C SIASA SAFI
D UONGOZI BORA
E BUNGE
F MAHUSIANO YA KIMATAIFA.


2 Hali ya UCHUMI ilivyo nchini

A KILIMO
B UFUGAJI
C BIASHARA NA UWEKEZAJI
D UVUVI
E USAFIRISHAJI NA UCHUKUZI
F TEHAMA
G VIWANDA

3 Hali ya Jamii ilivyo kwa sasa nchini

A AFYA
B ELIMU
C MIUNDOMBINU
D PEMBEJEO/UJENZI
E ULINZI
F MAHAKAMA ZETU
G MICHEZO

Tuainishe Mafanikio na Mapungufu yaliyojitokeza kwenye nyanja zota hapo juu na pia tuainishe Njia ya kuboresha zaidi.
Tukumbuke Tanzania ni nchi ya UCHUMI WA KATI Hivyo michango iwe na Afya. Pia tutembelee hotuba aliyoitoa Magufuli Akifungua Bunge mwezi huu wa 11 ikiwa ni dira ya 2020 to 2025.

Ahsanten Sana.
 
USIPOTOSHE UMA

1. TANZANIA HAIPO UCHUMI WA KATI,
IPO UCHUMI WA CHINI KABISA WA KATI.

2. TANZANIA NI NCHI YA 8 KUTOKA CHINI KWA UMASIKINI DUNIA NZIMA NI NCHI MASIKINI ILIYO TOPEA.

3. JIWE WALA NCHI HAIJAPIGA HATUO YOYOTE KWENYE SECTA YOYOTE ZAIDI YA KISHINDANA NA UPINZANI. KUWAKOMOA.

JIWE mshamba sana
 
USIPOTOSHE UMA

1. TANZANIA HAIPO UCHUMI WA KATI,
IPO UCHUMI WA CHINI KABISA WA KATI.

2. TANZANIA NI NCHI YA 8 KUTOKA CHINI KWA UMASIKINI DUNIA NZIMA NI NCHI MASIKINI ILIYO TOPEA.

3. JIWE WALA NCHI HAIJAPIGA HATUO YOYOTE KWENYE SECTA YOYOTE ZAIDI YA KISHINDANA NA UPINZANI. KUWAKOMOA.

JIWE mshamba sana
Bilashaka wewe ni GUNZI.
 
Back
Top Bottom