Kitendo cha kudhindwa kuwapa wanagunzi accademic transcript ni udhaifu mkubwa mno unaoonyeshwa na uongozi wa DIT. Wakati vyuo vingine vimekwisha tia kwa wahitimu wao, DIT wanatengeneza mwanya wa rushwa.
Kulikoni, makamu mkuu wa chuo? Je, hivyo vikao vya kila siku, vinasaidiaje kutatua tatizo hilo? Huoni wahitimu wanavyochelewa Mafunzo kwa vitendo? Yawezekana pia wskashindwa kuomba kujiunga na elimu ya juu kwa wanaohitaji.
Tunaomba serikali itusaidie.