Uongozi Wa Chadema Mbofumbofu ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi Wa Chadema Mbofumbofu !

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bull, Jan 16, 2011.

 1. B

  Bull JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chadema wanauongozi hivi karibuni ulionenekana kufanya maamuzu yasiyo na busara kama vile kutomtambua JK kama raisi wa TZ baadae wakabadili mawazo na hivi karibuni kukaidi amri ya wanausalama, kwa picha hii kweli hiki ni chama cha kukiamini? hasa ukizingatia swafu ya viongozi na utaalam wao kama hivi;

  M/kiti Mbowe ni DJ

  Katibu Slaa ni Mchungaji

  Kunakila sababu ya kukiepuka chama hichi kinachotumia kanisa kupata suport ya wananchi kila siku wachungaji wanashindwa na kujitokezakutetea mchungaji mwenzao

  Kweli chadema inabidi ithibitiwe vinginevyo itatupeleka pabaya wa Tanzania
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,549
  Trophy Points: 280
  Natoa wito kwa wenye mapenzi mema na Chadema msijibu wala kuchangia thred hi ni ya kichokozi yenye lengo la provocation watu wakasirike watukane kuonyesha ushabiki wa kisiasa.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Uongozi wa CCM ngangari kwa mauaji ya raia.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  naunga mkono hoja.
   
 5. B

  Bull JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Hii ni dalili nyingine ya chadema inayoonyesha hawana uwezo wa kufafanua na kujieleza zaidi wanaendeshwa na jazba pamoja na kukurupuka, nichama kilichoshindwa ku-draft au proposal ya katiba mpya zaidi ya kupiga makekelele na maandamano yasiyoeleweka

  Tunapo suport chama wandugu lazima tuangalie uongozi wake wajuu kama wanauwezo, hekima na busara, hivi ni vitu adimu chadema, afterall, wanahatarisha nchi pamoja na wananchi
   
 6. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Thanks Bull for this :
  trash.gif
   
 7. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Chadema ni taasisi,sio mwenyekiti wala katibu mkuu wanaotoa maamuzi,ni upuuzi mtupu kusema slaa ni mchungaji ilihali dunia inajua usomi wake
   
 8. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  naungana nanyi, wenye mwelekeo wa dini-ni mufirisi wa mawazo-achaneni nao
   
 9. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160

  Nadhani hapa Mkuu Bull inakuja na what i have always been judging as a FANATICISM! Unaongea kwa ushabiki wa Simba na Yanga bila core evidences, kule ktk ile thread ingine ume insist kuwa JK amefanikisha hii nchi ila hamkuleta reliable sources za argument yenu. Again and again hapo kwa blue hivi CCM ndio wana uwezo wa kuongoza?, wana hekima na Busara? na hawahatarishi nchi? hivi upo Dunia gani ambayo inakufanya usielewe what is happening in TZ? ama kweli binadamu tunatofautiana tena sana! good luck ktk dunia yako.
   
 10. M

  MabaoFungaFunga Member

  #10
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  naunga oja ,mada ni ya kutuchokonoa wana CDM
   
 11. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,641
  Likes Received: 1,429
  Trophy Points: 280
  thrashed!!
   
 12. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mmmhhh, thread inanuka kwelikweli!!!! Mkuu unaonaje ukimdhibiti kwanza mumeo na hayo yote yatafuata???
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280


  33804_1763327966694_1343954606_31903400_5498153_n.jpg View attachment 20551 View attachment 20552 View attachment 20553 72207_1630755205240_1127403497_31793227_2798227_n.jpg
   
 14. K

  KERENG'ENDE JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 398
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pasco

  Umenena si kila kisikikacho ni cha kusikiliza......
   
 15. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #15
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Hapo umenena mkuu na nakuunga mkono 100%
   
 16. mangimkuu

  mangimkuu Member

  #16
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama JF itaendelea kuandikisha wanachama bila kuangalia CV zao basi wote tutaonekana wahuni tu. Siamini kama mtu na akili zake timamu anaweza kuchangia mawazo kama haya ya huyu ndugu anayejiita Bull. Ningemshauri huyu bwana afanye uchunguzi wa kina ili kujua CVS za viongozi wa juu wa CHADEMA kabla ya kutoa mauni yasiyo na kichwa wala mguu. Tusitumie itikadi na ushabiki wa kisiasa kuropoka mambo tusiyo yafahamu ukweli wake. Ni lazima kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha na maoni tunayo yatoa kabla ya kuyatoa hadharani. Na hata kama ingekuwa kweli, udj sio kazi ni hobbie, unaweza kuwa profesa au dokta lakini kutokana na hobi ukaamua kuwa DJ, Mwanamuziki, Footboller etc. Na hata upadri pia unahitaji kisomo, kwani mapadre wengi ni madaktari wa philosofia yaani PHD kama alivyo Dr. Slaa.
  Lakini pia tusimshangae sana huyu bwana inawezekana akili yake na jina vinafanana. " Bull" !!!!!!!!!!!!!
   
 17. The Kop

  The Kop JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 208
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  ww naona unaendeleleza fikra za rais wako mkwere za kupandikiza udini miongoni mwa wa tz. mawazo yako ni ya mtu mufilisi, na mtazamo wa ki taahira....bull...shit....!
   
Loading...