Uongozi MUHAS wasitisha mahafali yaliyokuwa yafanyike leo chuoni hapo

Dennis002

Senior Member
Aug 18, 2014
149
52
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimesitisha mahafali ya wanafunzi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika leo mchana chuoni hapo jijini Dar es Salaam, ambapo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alikuwa amealikwa na wanafunzi kama mgeni rasmi. Tangazo lililobandikwa chuoni hapo na kushuhudiwa na wanahabari likiwa linamnukuu Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Apollinary Kamuhabwa limewakataza wanafunzi hao kutoweka mikusanyiko ya aina yoyote chuoni hapo. [ 47 more words. ]

Mahafali Chuo Kikuu Muhimbili yasitishwa, Wanafunzi walimualika Lowassa - Dar24
 
Sawa Profesa,tunajua mnaogopa kutumbuliwa lakini hayo ni mahafali ya kidini

Poleni kwa kufanya kazi under pressure hadi Dobutamine mnaiita Dopamine
 
Intelejensia imeonesha kuwa Lowassa atachomekea siasa siyo?, maskini Tz yangu wasomi nao wanayumba.
 
MTU 1 serikali yote inatikisika dah acha tu, aliibuka mliman city Siku zilizo pita kimya kimya lakin walipo gundua jamaa yupo mliman city shughuli zikasimama
 
Back
Top Bottom