Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Habari za Jumapili wakuu!
Katika kusoma soma magazeti nimeshutushwa na habari iliyofananisha ''ulevi'' wa pombe eti ni kama Ukawa;nimeshitushwa zaidi baada ya kubaini kwamba mwandishi kupata hisia rasmi kutoka kwa msemaji wa Chadema Bwana Tumaini Makene akionesha kujivunia kwa Ukawa kufananishwa na Pombe. (soma Mwananchi,28/02/2016)
Bw.Njau ambaye ni muuzaji wa baa mkoa wa Kilimanjaro anasema bia hiyo ya Pilsner ilipata jina hilo la ukawa kipindi cha uchaguzi Oct,2015,wanasiasa hasa wa ukawa waliwanunulia wafuasi ili kupata uungwaji mkono na wanywaji wengi walikuwa ni Ukawa na Kwa Kilimanjaro ni Chadema, bia hii pia inauzwa sehemu mbalimbali jijini Dar ambapo jina lake maarufu ni ukawa
Hoja zangu;
1. Je ukawa kwa kupitia pombe inajihuisha na wanyonge au walevi?.
2. Kwa Tumaini Makene kusifia chama kuwa ''branded'' na pombe inafanya chama kuwa cha walevi?
3. Ni kweli vijana wengi wa chadema hutumia ''viroba'',bange nk hasa kwenye mikutano?
4. Ni lazima mtu ili kuwa mlevi ili kuwa mwana ukawa/chadema?
5. Ni kweli chadema ni chama maarufu kwenye mabaa?
6. Je viongozi wa chadema/ukawa hutowa maamuzi ya kilevi?
8. Je kuna hatari nchi kuwa ya walevi endapo chadema/ukawa ingechukuwa nchi?
9. Je maoni/hoja nyingi za wanaukawa huchagizwa na matusi sababu ya ulevi?
10.Je hasira za wanaukawa huwa ni sababu ya uzalendo au ulevi?
Tujadili mada hii ili kupata maendeleo/suluhisho la hapa siasa na sera za vyama vyetu zilipo na sio kutafuta mshindi!