The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,632
- 119,937
Mkuu JF siku hizi ilishavamiwa na watu wa ajabu sana!Asante ndugu mi nashangaa watu wanaleta udini hata ingeandikwa 50% kwa 50% siyo sawa na pia CIA kupitia source zao wakiamua kuandika hicho kitu kwa wanavyoamini wao kwenye website zao au vitabu vyao hiyo ni shauri yao lakini kwenye page ya WIKIPEDIA AMBAYO INAHUSU NCHI YETU ilibidi vitu vingi vya takwimu vitolewe na serikali yetu au viwe approved na serikali.
Mkuu JF siku hizi ilishavamiwa na watu wa ajabu sana!
Mtu anakurupuka tu kucomment bila kusoma na kuelewa maudhui ya thread yenyewe!!
Kweli kabisa ndugu, maana yangu wahusika wa serikali wako wapi kuedit hayo mambo kwa mfano Hiyo hiyo WIKIPEDIA ingeandika Rais wa Tanzania ni Lowasa ingeabaki hivyo hivyo au wahusika wangehusika katika kubadili uongo huo...
Wikipedia kama walivyosema wadau wengine ni kutowachukulia seriously maana hata wakisema Prof. Lipumba ni Rais, hakuna haja ya kuwatilia maanani maana Wikipedia ni kama canvas ya kila mtu kutia graffiti yake anapojisikia hivyo serikali itapelekwa mchakamchaka wanaedit kitu mtu anaweka kingine muda huo huo.
uelewa mdogo kuhusu wikipedia ndio tatizo...jifunze kwanza ufaham zile taarifa za kwenye wikipedia zinaandikwa na kina nani kabla ya kushutumu,hata ww unaweza andika kwe wikipedia ukifuata masharti yaoView attachment 558921 Habari ndugu,
Nimefungua wikipedia nlikuwa napitia nchi yetu hii TANZANIA lakini ajabu nimekuta takwimu za dini, lakini nijuavyo mimi nchi yetu huwa haina idadi wala makadirio kati ya WAISLAMU NA WAKRISTO.
Sasa hawa wikipedia wanadai hizi data wamezipata kutoka CIA.
Tanzania - Wikipedia
uelewa mdogo kuhusu wikipedia ndio tatizo...jifunze kwanza ufaham zile taarifa za kwenye wikipedia zinaandikwa na kina nani kabla ya kushutumu,hata ww unaweza andika kwe wikipedia ukifuata masharti yao
CIA wana data nyingi kuliko hata google... They have all the information that is available below and above the Earth's crust!
Hahahaaa....ulitaka kuweka Islam 65%?
Weka 100% itakubari Mkuu.
Swali rahisi kwako, nini kimekufanya uamini hicho kilicho andikwa kwenye hiyo link????Mnajua msiwe mnaonyesha ujinga wenu mbele ya wengi mnajidhalilisha ili muonekane mnachangia, mada nyingine kama hamna cha kuchangia mnakausha tu au muulize tu mjifunze.
Haya hii hapa link inayokuonesha jinsi CIA WANAVYOTUMIA MEDIA KUPOTOSHA WATU
https://www.google.com/amp/www.glob...edia-to-distribute-disinformation/5424860/amp
Hizo takwimu ni kwa mujibu wa CIA. kama ulikua hujui CIA wanafahamu vitu vingi kuhusu nchi yako ambavyo hata raisi wako havijui. Kwa kifupi dunia ipo kiganjani mwao
Swali rahisi kwako, nini kimekufanya uamini hicho kilicho andikwa kwenye hiyo link????
''KITAALAMU''CIA wana namna yao ya kupata data. Vyombo vya ndani vinaposhindwaga uchunguzi wa mauaji au chochote huita vyombo vya nje huku muda ukiwa umeenda sana. Kwa hiyo wao watakuwa na namna yao ya kupAta data.
HAYA NI MAMBO YA KITAARAMU SANA MWANANGU
Hadi hapo nshatambua lengo lako hasa ni nini hutaki kusikia christians ni wengi kuliko muslimsHahaha pumba hizi....tumeshalishwa siku nyingi wao kwani wameombwa na serkali yetu watusaidie data hizo!!??
Jamaa hao kwa kutaka UJIKO hawajambo sana!!Hadi hapo nshatambua lengo lako hasa ni nini hutaki kusikia christians ni wengi kuliko muslims
Unasema kweli????Ngoja na mimi niangalie!!Sio mimi hapo ukiangalia kwenye sehemu ya dini kuna namba 2 iko kwenye mabano wao ndo wamesema kuwa hizo data ni kutoka CIA
Unasema kweli????Ngoja na mimi niangalie!!
Ndio sisi hatuna makadirio ya dini ila CIA wanatujua idadi yetu!!!View attachment 558921 Habari ndugu,
Nimefungua wikipedia nlikuwa napitia nchi yetu hii TANZANIA lakini ajabu nimekuta takwimu za dini, lakini nijuavyo mimi nchi yetu huwa haina idadi wala makadirio kati ya WAISLAMU NA WAKRISTO.
Sasa hawa wikipedia wanadai hizi data wamezipata kutoka CIA.
Tanzania - Wikipedia