Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya sana porini,na baada ya ajali hiyo alitokea mkulima mmoja na alipoona hivyo alichimba shimo kubwa na kuwazika wote kwa pamoja. Baadaye polisi walikuja eneo la tukio na kumkuta huyo mkulima na kuanza kumhoji kuhusiana na ajali hiyo pamoja na maiti.[FONT=Lucida Console] na mahojiano yalikuwa hivi:-
Polisi :- Uliona ajali jinsi ilivyotokea?[FONT=Lucida Console] [/FONT]Mkulima :- Hapana, nilikuta imeshatokea na maiti zimezagaa.. Polisi :- Zipo wapi maiti? Mkulima :- Nimezizika Polisi :- Una uhakika wote walikua wamekufa? Mkulima :-Kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakinisi unajua wanasiasa walivyo waongo!!!mi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote....[FONT=Lucida Console][/FONT]
Too bad ninety percent of the politicians give the other ten percent a bad reputation. Henry Kissinger Politicians are the same all over. They promise to build a bridge where there is no river. Nikita Khrushchev