Uongo wa wanasiasa Unawa cost Maishani

Adrian Stepp

R I P
Joined
Jul 1, 2011
Posts
2,764
Reaction score
2,608
Wanasiasa 10 walipata
ajali mbaya hukoo Msoga alitokea
mkulima mmoja
alichimba shimo na
kuwazika, \
Polisi... walikuja na kuanza kumhoji;

Polisi:Uliona ajali?
Mkulima:Hapana,
nilikuta imeshatokea na
maiti zimezagaa.
Polisi:Zipo wapi maiti?
Mkulima:Nimezizika. Polisi:Una uhakika wote
wamekufa?
Mkulima:Kuna wengine
walikuwa wanalalamika
kwamba hawajafa lakini
si unajua wanasiasa walivyo waongo! mimi
nikajua tu
wanadanganya
nikawazika wote
 
Mungu wangu!
Wanadanganya hadi kifo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…