Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Yule waziri mkuu hana akili na wala hana msimamo unawezaje kupatanishwa na mtu ambaye hamkugombana?au wanagombania malaya fulani nini maana wote Kagame,Pinda na Jk ni watu wa vicheche tu!!Usikute tunapigwa changa la macho kumbe Kagame katafuniwa mke wake sisi tunadhani ni mambo ya kidiplomasiakama ni kweli basi jk ana mbinu za kutaka kupanda ndege!!!na upatanishi wenyewe ataomba ufanyike honolulu,hawaii
Jaman godbles lema hajapona? angetusaidia sana kwenye hili kwani alishatuambia kuwa waziri mkuu ni mwongo kuliko shetani.
Kagame anatisha kama radi. Jk na watu wanaweweseka. He was trained in tz but now he is a big threat wordwide. Mpaka us wanamuogopa sembuse tz. Pinda sio kwamba kakurupuka,jk anaomba upatanishi mwenyewe
Kwa kweli pinda ametutia aibu sana.tz ni taifa kubwa sana kuomba kusuluhishwa kwenye mgogoro na nchi ndogo kama rwanda.kama tungekuwa tumekosea ingeingia akilini lkn hadi sasa ss hatuna kosa lolote.serikali imeshikilia msimamo wake kuwa rwanda ikae na waasi.kama huo ni msimamo wa serikali upatanishi unatoka wapi?
taarifa mpya inazua maswali kuhusuni wapi hasa waziri mkuu pinda alipata maelezo hayo ya kwamba rais kikwete aliomba usuluhishi huo.
tunadhani kauli ya pinda inaakisi upungufu wake katika ulimwengu wa diplomasia.
taarifa ile ilidakwa na vyombo vya kimataifa.dunia sasa inatuona kama wakosaji maana waziri mkuu ameonyesha kuwa sisi tunataka kupatanishwa.
Mi nilitaka aseme Rwanda wapigwe....kumbe anaomba wapatanishwe duh....
Jamaa anapenda kulia huyo...