sansam100
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 292
- 168
si vizuri kurubuni watanzania kwa kusema clouds TV inafika Afrika nzima wakati tunafahamu fika kuwa coverage yake ni East na Central Africa, hawana coverage ya west,south na north tofauti na vituo kama sound city yenye coverage zote, warekebishe kauli zao, vituo kama ITV, star TV, channel 10 na TBC vimekuwa na hiyo coverage kwa muda mrefu sana wao ni wa mwisho na misifa mingi, quality na production yao pia sio nzuri wanadhani TV nayo inahitaji maneno mengi kama redio, TV ni kugharamika na ubunifu wa kiutendaji si maneno mengi,