Na ni kwa jins gan naweza kumbadilisha mkuu.
Ni hulka tu, kama sio silka
Hbr jf,mwanamke anakuwa na tabia ya kukudanganya countinously,isitoshe mambo mengine unagundua angekuambia ukwl kusingekuwa na athar zaid ya kukfanya uwe na aman,sielew kma ni athar xa malez ama nn,naomba wenye uzoefu wanielmishe,kejel hpa syo mahala pake
inategemea na mazingira lakini.....!!!!
Na ni kwa jins gan naweza kumbadilisha mkuu.