Uongo tu ndiyo una matoleo tofauti!!

Uongo tu ndiyo una matoleo tofauti!!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Uongo wa kibiblia ndiyo wenye matoleo mengi sasa sijui Mungu aliendelea kuwashushia maono hao manabii wa toleo la kwanza hadi la mwisho la kibiblia hata walipokuwa tayari wamekufa ndiyo waliandika matoleo mapya.

MWAFRIKA za kuambiwa changanya na za kwako!!
 

Attachments

  • 2025_05_16_22.06.54.png
    2025_05_16_22.06.54.png
    953 KB · Views: 14
Back
Top Bottom