Sayansi kama haina majibu inatengeneza theories kulingana na sampuli zilizopatikana kwenye tafiti
Sayansi ni fani pweke na huru ambayo haina majibu ya mambo chungu nzima katika huu ulimwengu.
Sayansi siyo msingi mkuu wa kujenga hoja kwa atheist licha ya kupenda kujikomba nayo.
Science doesn't deal with any non-observable realm, kwa msingi huu hamna mtu yeyote yule anayeweza kujinadi kutumia sayansi kuthibitisha kutokuwepo kwa MUNGU.